Mimi kama mpenzi wa movie huwa sichagui genre. Naangalia zote kuanzia Action, Romance, Horror, Thriller, Drama za aina zote hadi za High School.
Huwa naangalia movie za USA (Hollywood) na za Kikorea. 99% ya movie ninazoangalia ni kutoka hizi nchi mbili
Licha ya kuwa genre zote naangalia, lakini...