valentine

Saint Valentine (Italian: San Valentino, Latin: Valentinus) known as Saint Valentine of Rome was a widely recognized 3rd-century Roman saint, commemorated in Christianity on February 14. From the High Middle Ages his Saints' Day has been associated with a tradition of courtly love. He is also a patron saint of epilepsy.Saint Valentine was a clergyman – either a priest or a bishop – in the Roman Empire who ministered to persecuted Christians. He was martyred and his body buried at a Christian cemetery on the Via Flaminia close to the Ponte Milvio to the north of Rome, on February 14, which has been observed as the Feast of Saint Valentine (Saint Valentine's Day) since 496 AD.
Relics of him were kept in the Church and Catacombs of San Valentino in Rome, which "remained an important pilgrim site throughout the Middle Ages until the relics of St. Valentine were transferred to the church of Santa Prassede during the pontificate of Nicholas IV". His skull, crowned with flowers, is exhibited in the Basilica of Santa Maria in Cosmedin, Rome; other relics of him were taken to Whitefriar Street Carmelite Church in Dublin, Ireland, where they remain; this house of worship continues to be a popular place of pilgrimage, especially on Saint Valentine's Day, for those seeking love. For Saint Valentine of Rome, along with Saint Valentine of Terni, "abstracts of the acts of the two saints were in nearly every church and monastery of Europe", according to Professor Jack B. Oruch of the University of Kansas.Saint Valentine is commemorated in the Anglican Communion and the Lutheran Churches on February 14. In the Eastern Orthodox Church, he is recognized on July 6; in addition, the Eastern Orthodox Church observes the feast of Hieromartyr Valentine, Bishop of Interamna, on July 30. In 1969, the Roman Catholic Church removed his name from the General Roman Calendar, leaving his liturgical celebration to local calendars, though use of the pre-1970 liturgical calendar is also authorized under the conditions indicated in the motu proprio Summorum Pontificum of 2007. The Roman Catholic Church continues to recognize him as a saint, listing him as such in the February 14 entry in the Roman Martyrology, and authorizing liturgical veneration of him on February 14 in any place where that day is not devoted to some other obligatory celebration, in accordance with the rule that on such a day the Mass may be that of any saint listed in the Martyrology for that day.

View More On Wikipedia.org
  1. Hizi ndizo nchi valentine day imepigwa stop

    Russia Malaysia Qatar Pakistan Somalia Saudi arabia Indonesia Unajua ni kwanini hizi nchi haziitambui hio siku?? NB: sisi tunapendana kila siku hatusubiri siku ya kuigiza (valentine)
  2. Valentine nilienjoy sana

    Siku Moja Nipo Rada..Natembea..Mitaani kwa mbaali...Naona Mmama wa Kiislam ,Ametupia Nikabu Sura Haionekani ..oyaa mi hua Sifagilii Unyonge kabisa, Nika mpiga mkono kama Traffic na Kumuweka Pembeni...Kama Gari. Baada y salam nkaomba namba ...Ameluka luka wee..mwsiho akanipa..Badae...nkamtumia...
  3. M

    Valentine usikae kinyonge

    Soma ujumbe na ufanyie kazi
  4. Utamu wa Valentine❤️, kunyonywa na kunyonya

    Guys, Guys, Guys Sijui mnanisikiaaaaaaa hebu sogeeni karibu niwape huu mchapo.....🙌🏻 Mayatima wa mapenzi mje mjifariji kidogo hapa, Baada ya kumaliza mihangaiko yangu kwenye mji wa watu nikajilaza kwa bed nawaza mawili matatu, nikahisi mwili mchovu sana nikatamani mtu angekuwepo anipe 'hot...
  5. Kwanini Valentine day haifai kwa mtazamo wa Kiislamu

    My people, Siku ya Valentine haifai katika mtazamo wa kiislamu kwa sababu kadhaa zinazotokana na mafundisho ya Qur’an na Sunna. Hebu tuangalie kwa undani: 1. Asili ya Siku ya Valentine Siku ya Valentine (14 Februari) ilianzishwa kwa maadhimisho ya mungu au watakatifu wa dini za Kikristo (St...
  6. Count down to valentine

    Deadline ya kunyoa ni kesho ili by valentine uwe umemaliza kujikuna
  7. Valentine imekaribia, ungependa member gani awe valentine wako?

    Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je? Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye wapi kurelax.
  8. TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

    Mimi sina maneno mengi ya kuandika ilaa nina huzuni kubwa juu ya taarifa ya msiba juu ya mpendwa wetu Valentina 😭😭 Wengi wetu tunamjua kwa kuunganisha watu na kujenga upendo katikati ya chuki na hasira, lakini leo Mungu amempenda zaidi. Nitatoa updates kadri nitakavyojaliwa. Update: Mazishi...
  9. Mapenzi ya valentine: mpenzi wangu amenifanya nijihisi malkia!

    Jamani, my man has truly outdone himself this Valentine’s! Yaani sijawahi kufanyiwa hivi before, I feel so loved and spoiled. 😍 Morning surprise? He brought me breakfast in bed—hot tea, pancakes, and fresh fruits. Yani alijitahidi kabisa kuhakikisha I start my day feeling special. ❤️ Later...
  10. Valentine na Live Band 🔥

    Hakika imeenda vizuri sana na nimefurahia 😊. Kwako imeendaje hii siku?
  11. Kwa nini ikifika valentine na mfungo ni kama ligi mpya za ndoa

    Hii miezi ni kipindi cha mapenzi mubashara na wapenda dini sana kuingia kwenye ndoa.
  12. Mwanaume wa kwanza kutumiwa pesa na mwanamke ni mimi siku ya valentine 💌

    Au kuna mwanaume mwingine uko katumiwa tujuane tulio pata wanawake wa hivi huyu si nione anaoneka sio kama wengine wa jf
  13. Happy valentine Day

    Ndivyo navyoweza kusema Watu wamesherehekea vyema na wapenzi wao ,kila sikukuu ina maana yake. Wapo wanaotaka out kila weekend,. Lakini outing ya Leo ni ya kipekee Kwa wengi. Wapo wanakula vizuri kila siku,lakini mlo wa leo ni zaidi ya kula. Watu wanapeana zawadi kila siku lakini Gifts za...
  14. W

    Unasherekea vipi hii Valentine?

    Wakuu, ikiwa leo ni Sikukuu ya Wapendanao "Valentines Day", unasherekea vipi au umepokea nini mpaka sasa? Kama huna ramani unaweza kusherekea siku ya leo kama ifuatavyo; Kubadilishana zawadi unaweza kuambatanisha na maua Games au movie Night: Kama hamna hela unaweza kuchill nyumbani na huyo...
  15. Valentine sio siku ya wanawake ni siku ya wapendanao. Kama wewe dada hauwezi kumtafutia mpenzi wako zawadi ni aibu kutegemea kuletewa

    Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Don't make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali. Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote...
  16. Happy valentine Wana JF

    Jaman ni Muda watu Leo, zawadi mtoe mpaka kielewek ila vyote kwa vyote heri ya siku ya wapendanao Tuendelee kuwapenda wanaotujali hasa wazazi wetu na watu wa karibu 😍😍💃🏾💃🏾
  17. Usifanye makosa haya matano kisa valentine

    Usifanye makosa haya 5 kisa valentine 1: Mwili wako sio zawadi kwa unayempenda Kama sio ndoa usitoe mwili wako kisa tu ni siku ya valentine, Siku moja inaweza kugharimu maisha yako yote,Jitunze na jiepushe mbali na tamaa za mwili. 2: Kukutana maeneo ya faragha Usikubali kukutana naye eneo...
  18. Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

    Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE. Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu. Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
  19. L

    Tshabalala kama hakumroga Valentine Nouma sijui

    Kazini kwa Tshabalala kuna kazi, kwa tabia zake za kiswahili lazima aibe soksi au kitu chochote cha Valentine ili aonekane mbovu, na watakaomsaidia kuharibu kipaji cha Valentine ni watu wa Utopolo maana Tshabalala yuko karib sana na Utopolo, kuletewa beki upande wake kumemuudhi sana mswahili...
  20. Valentine yako iliendaje?

    Wana MMU, na waumini wote wa mapenzi mpo salama? Valentine yako iliendaje? Matarajio yalifikiwa? Ulipata ulichokuwa unafikiria ungepata? Valentine wako allitokomea? Au ulipata surprise ya mwaka iliyoongeza tabasamu siku hiyo na kufanya iwe Valentine ya kukumbukwa? Let's go😀😀
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…