uzalishaji umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Kampuni ya Raddy Energy ya Tanzania kununua mitambo ya uzalishaji umeme kutoka Uswidi kwa Dola Milioni 320

    Kampuni ya Raddy Energy Solution Limited ya Tanzania imeingia makubaliano ya kununua mitambo minne ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia wa jumla ya megawati 177 kutoka kampuni ya Siemens Energy ya Uswidi (Sweden) kwa thamani ya dola za Marekani milioni 320. Ununuzi wa mitambo hiyo...
  2. H

    Kampuni ya Raddy Energy ya Tanzania Kununua Mitambo ya Uzalishaji Umeme Kutoka Kampuni ya Siemens ya Uswidi Kwa Dola Milioni 320

    Kampuni ya Raddy Energy Solution Limited ya Tanzania imeingia makubaliano ya kununua mitambo minne ya kuzalisha umeme kwa njia ya gesi asilia wa jumla ya megawati 177 kutoka kampuni ya Siemens Energy ya Uswidi (Sweden) kwa thamani ya dola za Marekani milioni 320. Ununuzi wa mitambo hiyo...
  3. Carlos The Jackal

    Magufuli alithubutu JNHEPP, TRUMP kasaini Sheria ya uanzishwaji wa uzalishaji umeme wa makaa ya mawe

    Katika kutetea Uamuzi wake wa Kuitaka Nchi ya Marekan ianze kuzalisha Umeme kupitia Makaa ya Mawe, alisema "Kwa Marekani kupuuza matumizi ya Makaa ya Mawe, kulipekea Uchina kutumia Fursa hiyo na kuzalisha Umeme Kwa gharama ndogo na kufanya Nchi hiyo iwe na viwanda vingii na kuisaidia Uchina...
  4. Just Pray

    PreGE2025 Gerson Msigwa: Hali ya upatikanaji wa umeme nchini imeimarika na kufikia 78.4%

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa juhudi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zimeifanya Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika uzalishaji na usambazaji wa umeme. Akizungumza na wanahabari katika Mradi...
  5. Influenza

    TANESCO, Songas zamaliza Mkataba wa Uzalishaji Umeme. Serikali yagoma kuendelea na mkataba kulinda maslahi ya nchi

    KUMALIZIKA KWA MKATABA WA UNUNUZI WA UMEME KATI YA TANESCO NA KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME KWA NJIA YA GESI ASILIA YA SONGAS ljumaa 01 Novemba, 2024 Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuufahamisha umma kuhusu kumalizika kwa mkataba wa ununuzi wa umeme kutoka Kampuni ya uzalishaji...
  6. figganigga

    Serikali: Gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki

    📌 Ni kutokana na Serikali kuweka ruzuku katika kila uniti 📌 Aelezea ruzuku inayotolewa na Serikali kufikisha umeme visiwani Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema gharama ya kununua umeme nchini ipo chini ukilinganisha na Nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hii ni kutokana na...
  7. J

    Rais Samia: Suluhu ya Umeme itapatikana Aprili 2024 baada ya kuanza uzalishaji wa Megawatt 470-500 katika Bwawa la Mwalimu Nyerere!

    Rais Samia amesema suluhu ya Tatizo la umeme itapatikana April 2024 baada ya Bwawa la Mwalimu Nyerere kuzalisha umeme wa Megawatt.470-500 Mambo mazuri yanakuja tuwe na subira --- Rais Samia Suluhu Hassan amesema tatizo la upungufu wa umeme litakwenda kupata suluhu yake mwezi April mwaka huu...
Back
Top Bottom