Ndugu wana jamiiforums. kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Tuna shida katika kujenga hoja, ila tuko vizuri katika kutoa maoni. Na hii ndiyo concern yangu katika post hii. Watu wengine, kwa mfano, wakitoa maoni yao kuhusu jambo fulani, wanataka uwaamini kwa asilimia 100 kwa hilo jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.