uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ligi ilinoga zaidi Simba na Yanga walipoacha kushea uwanja

    Yanga toka ilipoanza kutumia uwanja wa Azam Complex ilionekana kuukubali hadi ikaanza kutamba kama vile wao ndiyo wana umiliki. Simba ikahisi uwanja kama unawakataa, ikaanza kuhaha huku na kule kutafuta pa kujisitiri. Ni hadi ilipoupata uwanja wa KMC, Simba ndiyo ikaonekana kutulia, ikichangiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi: Yanga wametangaza uwanja wa KMC kabla ya approval, wanaweza kukataliwa

    https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki. Amesema...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uzushi, majungu na uongo, havina nafasi katika soka, soka ni sayansi, uwekezaji na mipango. Alie bora ataonekana tu na swala la muda

    Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African). Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya? 1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uwanja wa KMC kufungwa kamera maeneo yote muhimu

    Habari za asubuhi waungwana! Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo. Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe mmoja wa wasimamizi wa uwanja alidokeza kuwa sehemu zitakazofungwa kamera ni pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga kwanini msijenge uwanja wenu (Stadium) kwenye eneo mlilopewa na Rc Makonda enzi hizo?

    Yanga mlipewaga eneo na Rc Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar. https://www.mwananchi.co.tz/mw/michezo/yanga-kujenga-viwanja-vitatu-eneo-la-makonda-2976210 Hilo eneo bado lipo. Hayo mabilioni ya kununua wachezaji wazee mngetumia kuendeleza eneo alilowapa Makonda, huko Kigamboni. Na mgekuwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

    Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo. Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka. Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane? Tushike lipi sasa? Tatizo...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndo match yetu ya Mwisho kucheza Uwanja wa Azam. Hawa washenzi tutawakomoa

    Azam Complex wamiliki na mameneja ni washenzi sana. Wanatuhujumu. Uwanja wanakataa tusiuone kabla ya match. Ni washenzih sana hawa jamaa. Wanatuhujumu sana hawa Azam na mikia. Hawataki tuwe tunakagua uwanja kabla ya matches. Wana fanya hujuma kwa team yetu hawa mbwa. Hawataki tuuandae uwanja...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Simba tafuteni uwanja wenye taa Kwa mechi za katikati ya wiki

    Hata kule ulaya mechi za katikati ya wiki huwa zinachezwa usiku tofauti na za week end ili kuwapa mashabiki wengi kuburudika.Sasa nyinyi mechi za katikati ya wiki mnacheza saa kumi jioni hii mnapelekea kujipunguzia mapato na kuwanyima burudani mashabiki wengi Kutokana na muda huo kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kufuzu CHAN | Tanzania 1 (5) - (6)0 Sudan | Uwanja wa Mkapa

    Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, hivi ni Tanzania hii hii au ni ya mabwepande? hawajui mpira, na aliyechagua wachezaji hawa anapaswa akae lock up kabisa. Timu ya Tanzania, inacheza na Sudan, mchezo bado unaendelea hadi sasa CHAN 2024 QUALIFIERS 70’ Tanzania 🇹🇿1️⃣-0️⃣🇸🇸 Sudan ⚽️ Chrispine...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Akabidhi Uwanja wa Michezo wa Kisasa Shule ya Sekondari K/Ndege Dodoma

    Ni wa michezo ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amekabidhi kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege kiwanja cha kisasa cha michezo ya mpira wa kikapu,pete na wavu kama sehemu ya kukuza na kuendeleza vipaji vya wanafunzi wa Jijini Dodoma. Tukio hilo limefanyika...
  11. JamiiForums Tanzania Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  12. JamiiForums Tanzania Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
  13. JamiiForums Tanzania Maombi ya kujengewa uwanja wa Basketball Toangoma wilaya ya Temeke

    Ndugu zangu nimekuwa nikiwaza ni jinsi gani ntaweza kusaidia kujenga uwanja wa BASKETBALL mtaani kwangu kwa muda mrefu sasa, sina kiasi cha pesa cha kutosheleza kwasababu mimi pia ni mwanaharakati wa hapa na pale ili nipate kula. Katika kukaa na kutafakari nkagundua kwamba naweza nikakutana na...
  14. JamiiForums Tanzania Michezo inaahirishwa, Timu zinaathirika, Lakini zaidi ya mwaka Hakuna ukarabati wa maana unaoonekana uwanja wa Mkapa

    Zaidi ya mwaka sasa, michezo mingi ambayo ilipaswa kufanyika uwanja wa Mkapa imekuwa ikiahirishwa, Tukijua kwa bajeti hiyo kutakuwa na maendeleo makubwa sana katika dimba la Mkapa, lakini mpaka sasa hakuna hata TV! pitch bado mbovu, LED Display boards zimeondolewa! Sasa usumbufu na muda wote huo...
  15. JamiiForums Tanzania Gamondi hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex

    Kocha wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi leo katika mkutano na Waandishi wa Habari ametamka wazi kwa mara nyingine kuwa hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex bali Uwanja pekee anaofurahia ni Benjamini Mkapa. Ikumbukwe kesho ni mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam katika Uwanja wa Chamanzi...
  16. JamiiForums Tanzania Mabilioni yaliyomwagwa kukarabati uwanja wa Mkapa mbona bado uwanja mbovu?

    Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi chote hicho, na kwa mabilioni yaliyomwagwa pale, Tulitarajia uwanja angalau uwe Pitch yenye quality...
  17. C

    JamiiForums Tanzania KERO Uwanja wa Sokoine Mbeya hauna msimamizi, mbona mchafu sana?

    Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya. Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu za pembezoni mwa pitch na karibia na majukwaa.Manyasi yameota hovyo hovyo hata yakikatwa huwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hamas yadai yawauwa kamanda wa IDF huko Gaza kwe uwanja wa mapambano

    Wanaukumbi 🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS ADAI KAMANDA WA IDF AMEUAWA HUKO GAZA. Vikosi vya Al-Qassam, tawi la kijeshi la Hamas, walitoa picha ya bomu la IED likilipua chini ya tanki kaskazini mwa Gaza, ambalo wanadai lilimuua mwanachama mkuu wa IDF. "Tulilenga kifaru cha Kizayuni chenye maganda 105 cha...
  19. JamiiForums Tanzania Mabilioni yaliyomwagwa uwanja wa Mkapa yako wapi? mbona hayaonekani uwanja umezidi kuwa mbovu

    Mechi muhimu kama hii ya derby uwanja hauna electronic display boards, uwanja hauna big screen, pitch yenyewe mbovu haina hadhi kama ya viwanja vingine tunavyoona huko nchi zingine. Kwa mabilioni yaliyomwagwa tulitegemea sio tu kuwa na on pitch electronic display board bali hata juu ilipaswa...
  20. JamiiForums Tanzania Hili goli la uwanja wa taifa lina bahati mbaya?

    Hii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba na tena mpira unagonga karibu eneo lile lile. Nikikumbuka hivi karibuni: 1. Penati ya Mukwala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…