Rais atafika Mwanza kuzindua daraja la Busisi Kigongo lakini wananchi wanashangazwa pia na dana dana zinazopigwa kukamilisha uwanja wa ndege wa Mwanza na kuufanya wa kimataifa.
Ni kweli kwa hili tunaidai Serikali kwa vile ni shs bn 3 kati ya 28 zimetolewa hadi sasa kipindi cha miaka miwili...
Bado kuna shida ya kasi ya ukarabati wa Uwanja Ndege Mwanza. Utekelezaji wa muundo mbinu huu hauendani na kasi aliyoiagiza Rais. Tatizo ni nini huu uwanja?
MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA
▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini
▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika
▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
Ni muda sasa naona kama hakuna maendeleo yoyote ya maana katika ukamilishaji wa ujenzi wa jengo zuri la abiria pale Mwanza airport.
Soma Pia: Uwanja wa Ndege wa Mwanza utabeba Abiria wa Kigeni 200
Bado kana endelea kutumika kale kajengo kadogo ka tangu enzi za mjerumani ambako ni kafinyu sana...
Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa.
Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla alijitahidi sana kuurejesha kwenye uhai lakini kampuni ya Mzawa haionekani kufanya chochote hadi sasa...
Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024 by ICAO standards.
Kwenye maelezo ya Bw Mbura DG jengo hili litabeba watu 200 kutoka nje ya nchi(international pax)kwa mkupuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.