uwanja wa ndege dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    PreGE2025 Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar, Jaji Mkuu mwingine mstaafu David Maraga afanikiwa kupenya Kisutu

    Baada ya Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya Willy Mutunga kushikiliwa Uwanja wa Ndege Dar majira ya saa 9 alfajiri alipowasili nchini kufuatilia kesi ya Tundu Lissu, Jaji Mkuu mwingine mstaafu wa nchi hiyo David Maraga, amefanikiwa kutinga Kisutu. Pia soma Pre GE2025 - DSM - Kesi ya Lissu: Jaji Mkuu...
  2. Erythrocyte

    CHADEMA yaita Watu wote Duniani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kote Duniani hii hapa Kwa Wale wasiojua Kiswahili nyingine hii hapa
  3. Waufukweni

    Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya

    Hii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
  4. Waufukweni

    Jux ajibu onyo la Wanigeria, akana kumchumbia Priscilla

    Staa wa muziki, Jux, amerudi bongo usiku wa kuamkia leo, Septemba 5, akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mpenzi wake Priscilla Ajoke, mtoto wa mwigizaji mkongwe Iyabo Ojo kutoka Nigeria. Hivi karibuni, wawili hao walikuwa Nigeria wakijirusha kwenye party ya...
Back
Top Bottom