Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika.
Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa.
Ghafla tu umefungwa kila watu wakifuatilia hakuna sababu zinazoeleweka kuhusu kuzuilia watu kutofanya mazoezi hali ambayo...
Anonymous
Thread
bariadi
kuzuia
mazoezi
mifugo
mkuu
mkuu wa wilaya
mpira
sawa
uwanjauwanjawampira
wilaya
Habari ndugu zangu!
Naomba kuwakilisha malalamiko kwa serikali kuangalia upya eneo linalozunguka uwanja wa mpira ambao ni mali ya serikali pia lipo chini ya halmashauri ya jiji la Mbeya.
Uwanja huu ni mkongwe sana jijini Mbeya. Umetumiwa na timu kubwa kama yanga, simba wakija Mbeya kama kambi...
Hivi huyu aliyependekeza hii ramani ya uwanja mpya ARUSHA ana akili timamu kweli? Ilikuwakuwaje hiyo ramani ilipitishwa kwenye jopo la wataalamu? Ni Bora huo uwanja ukavunjwa ili tujenge uwanja mzuri na siyo hilo beseni.
Rais Samia ametoa TZS298bn kwaajili ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu “ Samia Suluhu Arusha stadium” sasa Mkoa wa Arusha kwenye ramani za AFCON rasmi.
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata uwanja wa kisasa wa mpira ambao unajengwa katika...
Nimefatilia michuano ya cecafa inayo ENDELEA karatu nimefurahi SANA. Lakini nikajiuliza huu uwanja MBONA UKO VIZURI nani mmiliki wake ILI kama atapata NAFASI ya kunisikiliza tunaweza peana USHAURI.
Tetesi Zina dai ni kijana TU SI mzee Wala bilionea mkubwa nchini nikashtuka. Wengine wakadai ni...
Magari ya matent fuso,scania zinaingia ndani ya pitch kushusha tent
Mashimo au vitu vizito vya kuwekea tent
Watu mia n.k kukakaa kwenye pitch kwenye ujinga wa kungamano
Yaani hata wakikarabati pitch haitadumu hta mwaka Moja....wenzetu viwanja vyao hata km Kuna MAKONGAMANO pitch Huwa marafuku...
Nianze kwa kusema kuwa, Moja ya Entertainment/burudani wananchi wanayopata ni kufikia msimu wa Uchaguzi, ni msimu ambao tunasisimua mishipa ya raha hasa katika ufuatiliaji wa zoezi la uchaguzi , ikiwemo kampeni, vijembe, upigaji wa kura, utangazaji wa matokeo, ni wakati mzuri ama zaidi kama...
Hivi Kuna Rais amewahi fanya makubwa na kuleta mafanikio kwenye sekta ya Michezo,sana n burudani kumshinda Samia katika historia ya 🇹🇿?
Huwezi Kuta SSH akijigamba ila matokeo kwake ni makubwa sana ,mfano ni kwenye sekta ya ujenzi wa viwanja vya Michezo na -ukarabati.
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.