uvumilivu kwenye mahusiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Nawapongeza wanawake wote mlio na wanaume wenye vitambi mbarikiwe kwa uvumilivu wenu

    Niseme tu mmepata tunu ya kipekee Binafsi huko nyuma nilikuwa na kitambi Nikakiachia kweli kweli bila kujua madhara yake kuanzia kiafya mpaka ndoa Nichukue nafasi hii kumshukuru mke wangu kwa kunihimiza mazoezi na kuacha kula mavyakula yasiiyofaa ikiwemo kuacha pombe Niseme tu wanawake mlio...
  2. Miss Natafuta

    Wanawake wengi ni wavumilivu kwenye maisha kuliko wanaume

    Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki. Tumeumbwa kuvumilia Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta...
  3. RedPill Prophet

    Vijana hebu niwe mkweli kwako leo

    Unaona kwamba msichana unayechumbiana naye sasa, ana nafasi kubwa ya kuifanikiwa kimaisha haraka kuliko wewe. Ndiyo maana hupaswi kutumia ujana wako wote kujenga uhusiano na mwanamke. Ukweli ni kwamba anaweza kutoka kwenye mahusiano hayo kwa urahisi na kwenda mbele na kuolewa na mwanaume...
Back
Top Bottom