uvccm kagera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DodomaTZ

    GE2025 Baadhi ya Vijana wa Karagwe wafunga Mitaa kwa hamasa wakimsubiri Samia

    Vijana wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Karagwe, wakiongozwa na Mwenyekiti wao Alexius Sylivester, wamefanya hamasa kubwa ya kumkaribisha Mgombea Urais wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye anatarajiwa kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM katika mkutano...
  2. R

    GE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Maneno tumepita bila kupingwa yanaweza kuwa sumu kupunguza kura za Chama chetu

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amezindua rasmi kampeni za Udiwani katika kata ya Kashasha, jimbo la Muleba kusini na kuzungumza na wananchi wa kata hiyo kupitia mkutano wa hadhara ‎Katika mkutano huo Faris alionyesha masikitiko yake kwa...
  3. Nkarahacha

    PreGE2025 Polisi kamateni Faris Burhan Mwenyekiti UVCCM Kagera kufuatia kutekwa kwa Mdude

    Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute. Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
  4. W

    PreGE2025 M/Kiti UVCCM Kagera: Simamieni maslahi ya vijana siyo kupiga makofi tu

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera, Faris Buruhani ametoa wito kwa viongozi wa vijana mkoani humo kusimama imara katika kulinda maslahi ya vijana wenzao hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, huku akiwakumbusha kwamba kazi waliyochaguliwa kuifanya ni kuwasimamia vijana ndani na nje ya...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Msitupangie cha kuzungumza kuhusu Rais Samia

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani ametoa wito kwa vijana kuendelea kuyasema mema na mazuri yanayofanywa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan bila uoga kwani kazi aliyoifanya kwenye nchi yetu kwa miaka minne ni ya mfano na hakuna sababu...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 UVCCM Kagera wachangisha Shilingi Millioni 12 kwa ajili ya mradi wa vijana Mkoa

    Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa Bwana Leodger Kachebonaho amechangia shillingi millioni Tano katika harambee iliyoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, kuweza kuchangisha fedha kwa ajili ya mradi wa vijana Mkoa huo. Ikiwemo mradi wa fremu za biashara uliopo katika soko la CCM Zam Zam. Kupata...
  7. upupu255

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Vijana tuchangamkie fursa kwenye miradi mikubwa ya serikali

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Cde. Faris Buruhani amewakumbusha vijana wa mkoa huo kuzikimbilia fursa kubwa na za muda mrefu zinazopatikana kwenye miradi mbalimbali ya serikali inayotekelezwa kwenye maeneo yao badala ya kuhangaika na fursa za siku moja ambazo hutokea mara moja tu kila baada...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera apongeza kauli mbiu mpya ya CCM "Kazi na Utu Tunasonga Mbele"

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekishukuru kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa [NEC] kilichoketi Mach 10, 2025 kwa kutoka na kauli mbiu ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Akieleza kuhusu kauli mbiu hiyo, Faris amesema kauli mbiu hiyo...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Kagera: Wananchi wa Kata ya Kibingo acheni tabia ya kuwachagua viongozi wa vyama vya upinzani

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Ndg. Faris Buruhani, amewataka wananchi wa Kata ya Kibingo, Wilaya ya Kyerwa, kuacha tabia ya kuwachagua viongozi wa vyama vya upinzani na badala yake waendelee kuiunga mkono CCM. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  10. Inside10

    Faris Buruhan Mwenyekiti UVCCM Kagera: "Mtaa Hautaki Digrii Unataka Ujuzi".

    https://www.instagram.com/p/DHI1LhfoRuR/?igsh=MTB5bGZnMjRteTR0ag== My take: CCM wametuamulia naona kauli ya waziri mkuu inazidi kusisitizwa.
  11. Mindyou

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Kagera: Mtaa hauhitaji digrii na PHD na watu wenye vyeti pekee, mtaa unahitaji ujuzi

    Wakuu, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amewataka vijana wanaopata mafunzo ya ufundi katika vyuo vya VETA kutumia vyema ujuzi wao, akisisitiza kuwa ajira mtaani zinategemea zaidi ujuzi na utendaji kazi badala ya vyeti vya elimu ya juu...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amesema mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  13. Cute Wife

    LGE2024 UVCCM Kagera Faris Buruhani: CHADEMA Kagera hawatashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa labda washinde njaa

    Wakuu, Hivi huyu anafanya nini uraiani na bado ni kiongozi wkati alituambia wazi kabisa yeye ni wale watu wasiyojulikana wanaopoteza watu? Polisi mnazidi kutuangusha, yaani kila siku mnajipaka matope. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
  14. Stephano Mgendanyi

    UVCCM Yatembea kwa Miguu Ikifuata Nyayo za Baba wa Taifa Kutoka Butiama Hadi Mwanza

    Vijana 2,100 wakiwemo 32 wa kutoka Musoma Vijijini, walianza matembezi ya miguu kutokea Butiama hadi Mwanza siku ya Jumatano, 9.10.2024. Matembezi haya yanafuata nyayo za matembezi ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoyafanya Mwaka 1967 akiunga mkono Azimio la Arusha...
  15. Matulanya Mputa

    Tetesi: Mwenyekiti wa UVCCM Kagera kufunguliwa kesi kwa watu wanaotekwa na kupotea na njia ya jeshi la polisi kujisafisha

    Kauli hii imechukuliwa kama ushahidi, pia kuna tetesi kauli ya UVCCM mkoa wa Kagera ni dalili tosha kwa yanaoendelea, polisi ni kama wanauziwa mbuzi. Pia kauli ya Tulia Ackson aliyoitoa Mbeya ni dalili tosha UVCCM imegeuka genge la utekaji hasa viongozi wa kisiasa. PIA SOMA - Angekuwa...
  16. D

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Kagera wametoa onyo kwa watu wanaotumia mitandao kumtukana na kumbeza Rais Samia pamoja na wasaidizi wake kuwa muda wao kuendelea kufanya hivyo sasa umekwisha. Onyo hilo limetolewa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhan wakati wa ziara yake wilayani...
Back
Top Bottom