uume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ajikata uume kisa urijali

    Chemba. Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguka kiuno na kusababisha asiwe rijali...
  2. Mwanaume mmoja amechukua uamuzi wa kukata uume wake baada ya kukosa urijali

    Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguke kiuno na kusababisha asiwe rijali. Akizungumzia...
  3. Nyangumi wa bluu, mnyama mwenye uume mrefu zaidi duniani

    Nyangumi wa bluu ana uume mkubwa zaidi katika ufalme wa wanyama. Kwa kawaida inatajwa kuwa na urefu wa wastani wa uume wa mita 2.5 (8 ft 2 in) hadi mita 3 (9.8 ft) na kipenyo cha sentimita 30 (12 in) hadi sentimeta 36 (14 in). Ncha iliyokaushwa ya uume wa nyangumi wa Bluu, Makumbusho ya...
  4. Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

    Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke Yote yanawezekana ila...
  5. Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

    Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi. Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba wanakuwa ni wenye kuvutia muda wote. Ni kawaida kukuta chumbani kwa mwanamke vipodozi vingi vya kila...
  6. Je Amoeba zinapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex?

    Habari ya majukumu wanajamvi, Naombeni kuuliza kwa wanaolifahamu hili kama kichwa cha uzi huu kinavyo sema, ni kweli kwamba minyoo ya amoeba inapunguza uwezo wa uume kusimama wakati wa sex. Jambo hili nimeliona katika platform mbali mbali na coment mbalimbali humu hum Jfm, nilihitaji...
  7. Nina tatzo la uume wangu katikati ya kutolea mkojo kuna kinyama kimejitokeza kidogo, sijui nini shida

    Dr habari za kazi aisee Nina tatzo la kujitokeza kinyama katikati ya uume wangu n kadogo Sana kapo sehemu unapotokea mkojo sijui nn shida msaada wako na tiba yake nini? Samahani kwa hiyo picha.
  8. Kijana atajirika kwa kuuza uume, korodani, ni milionea "Wanawake wanagombania, freemanson kawaida"

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni! Msemo huu unajidhihirisha baada ya kauli ya Onesmo Mbasha, ambaye ni mmoja wa vijana wanaouza bidhaa mbalimbali zitokanazo na wanyama zikiwamo sehemu za uzazi za ng’ombe dume zinazojumuisha uume na korodani. Zipo taarifa kuwa viungo hivyo vya ng’ombe ni...
  9. Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai. Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua. Ninawashwa sana mwilini na vijipele...
  10. Wewe uliyetudanganya kuwa tukiweka dawa ya meno kwenye uume tutapata matokeo chanya Mungu anakuona. Mkuyenge wangu ulikata moto.

    Hi gentlemen & ladies! Kama sitakosea ilikuwa 2019 mdau mmoja humu alitupia uzi au alichangia kwenye uzi fulani uliozungumzia jinsi ya kuboresha tendo la ndoa. Alielezea kuwa ukichukua mafuta ya mgando kidogo ukimix na dawa ya meno kidogo kisha ukimpaka dula kichwa wazi basi utapata raha ya kufa...
  11. Vidonda visivyo vya kawaida kwenye uume

    Kichwa kinajiekeza. Ndugu zangu wiki mbili zilizopita nilijiona kitu cha tofauti kwenye kichwa cha uume wangu kwanza ulianza kama mwasho sana basi nikawa najikuna sana kadri nikijikuna nasikia raha, nikajua ni kawaida tu, then next three days nikawa napata kama michubuko kwenye kichwa tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…