utumishi wa mahakama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Mahakama: Mfano wa Uwazi, Uharaka na Uadilifu Kwenye Ajira za Umma.

    Uzi huu ni maalum Kwa kutoa pongezi kwa Tume ya Utumishi wa Mahakama kama mfano wa Uwazi, Uharaka na Uadilifu Kwenye Ajira za Umma. Nawapongeza kwa dhati Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa namna wanavyosimamia mchakato wa ajira kwa uharaka, uwazi na weledi mkubwa. Hili ni jambo la kuigwa...
  2. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwa wajuzi wa protocol za usahili katika Tume ya utumishi wa mahakama.

    .
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania 430 New Jobs at Tume ya Utumishi wa Mahakama Nov 2025

    The Judiciary Service Commission is a body established under Article 112(1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977. Furthermore, Article 113 of the Constitution and the Judiciary Administration Act Cap. 237 give the Commission various responsibilities, including the...
  4. Nchiyanguu

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuhama Tume ya utumishi wa Mahakama kwenda taasisi nyingine Kwa kubadili level yako ya Elimu uliyoajiriwa mwanzo ?

    Wakuu habari za jioni. Naomba kuliza mfano mtu una level ya degree ila ulitumia cheti cha form 4 kupata kazi ya Msaidizi wa OFISI Tume ya utumishi wa mahakama. Je inawezekana kuhama kwenda tasisi nyingine Kwa kuweka wazi Elimu yako ya degree ?
  5. NAKUKUNDA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Ajira za siri za mahakimu kutoka Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi. Lakini tarehe 20 Septemba 2024 Jaji Mkuu wa Tanzania, aliwaapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
  6. NAKUKUNDA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Ajira za siri za Mahakimu kutoka Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya Utumishi wa Mahakama imekuwa ikitangaza rasmi ajira za Mahakimu na kuwachagua wale waliofuzu na kukidhi vigezo stahiki kwa tangazo maalumu na kwa uwazi. Lakini hivi majuzi mnamo tarehe 20 Septemba 2024, Jaji mkuu ameapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
  7. N

    JamiiForums Tanzania KERO Tume ya Utumishi wa Mahakama mnapochelewesha matokeo ya usaili mnatutesa!

    Vijana wameenda kwenye Mahakama za Kanda wamefanya usaili, wengine wamesafiri kwa kutoa nauli zaidi ya shilingi elfu 30 kwenda tu. Kuna wengine walifikia lodge na wengine kwa ndugu. Baada ya usaili wamesubiri mtoe matokeo wajijue wanaoendelea na usaili na wale wasioendelea wajijue warudi makwao...
  8. Jangili La Kimataifa

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili utumishi wa Mahakama

    Habari wana JF, jana kulifanyika usaili wa Mchujo kwa kada mbalimbali za Utumishi wa Mahakama. Mwenye ufahamu jinsi ya kujua kama umechaguliwa juu kwenye Oral maana naona kimya halafu sielewi taarifa nizipate wapi.
Back
Top Bottom