utt amis

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Naomba kueleweshwa kuhusu mfuko wa Hatifungani (Bond) wa UTT AMIS

    Eid Mubarak. Naomba kueleweshwa mfuko wa bond wa UTT AMIS. Mfano muwekezaji akiwekeza million 100, gawio lipoje? Na je kuna uwezekano wa mtaji huo wa million kukuwa? Na je hizo bond huiva baada ya muda gani?
  2. A

    KERO Je, UTT AMIS kuna kitu kinafichwa bila sisi wanachama kujua?

    Mimi ni mwanachama wa mifuko kadhaa UTT na kwamba UTT wamefanya maboresho ya program ambapo program iliyokuwa inatumika zamani imefungwa tangu tarehe 01/03/2026. Sasa tatizo lililopo ni kwamba taarifa zetu hazijahamishwa automatic toka kwenye mfumo wa zamani kuja kwenye mfumo huu wa sasa...
  3. Nahitaji kuwekeza 15,000,000 UTT AMIS lakini sina elimu ya uwekezaji

    Hello waja JF, Nina 15,000,000 nahifaji kuiwekeza UTT atleast kwa mwaka mmoja ili izae japo kidogo kuliko kuiacha Bank, naombeni ushauri wa yafuatayo 1. ni mfuko gani pale UTT ni salama zaidi na ni rahisi kuweka na kutoa fedha mda wowote 2. Faida zao zikoje 3. Mapungufu ya UTT ni yapi...
  4. Mlioweka Pes UTT Amis kazitoeni haraka sana mnaenda kulia

    Kwa wote mlioweka pesa UTT Amis katoeni haraka sana tafuteni mifuko mingine ya kuweka mnaenda kulia muda sio mrefu mtaukumbuka huu uzi mpango namba Moja wa serikali ni kuchukua mabilioni ya utt amis hivyo katoeni pesa haraka sana wazee mtakuja kuninikumbuka
  5. KERO Hakuna Taasisi yenye huduma mbovu kwa wateja kama UTT AMIS

    Hawa jamaa ni very conservative, slow, backward and premitive institution. Upande wa customer care ni wabovu na wameoza. Unaweza kuweka hela zako vizuri kabisa ila kuzitoa sasa utazungushwa kama deni. Najua hata humu JF wapo watakuja kujitetea ila uliza wateja wa UTT watakwambia. Mfano hela...
  6. Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kuweka pesa utt amis

    Kuna jamaa huku mtaani namuonakama rofa kachukua milion 10 kaenda kuiweka Utt amis eti anasema anaitaka ikae miezi 24 hivi mtu kama huyu anaakili timamu kweli aisee wakuu yaani anaenda kuweka pesa utt amis kwenye faida ndogo kuliko kama sio ukichaa ni nini
  7. UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi. Nimefahamu haya 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  8. Tengeneza kiinua mgongo chako Usije ukatoa laana kwa wanao

    Wapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate, Anyway, back to topic, leo naongea na wote mlio U40, mmejiandaaje na uzee? Umejiandaaje kuzeeka pindi ambapo mwili utakuwa hautaki tena kufanya kazi? Kipind ambacho trip za Hospital zitakuwa...
  9. Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

    Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT?? Na hili ndilo jibu lake. Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit. FAIDA FUND. UTT Anyway:- Tuendelee kutafuta hela #YANGA_BINGWA #YNWA
  10. UTT Amis mnafeli sana na online services zenu.

    App haifunguki Simu hampokei Wengine hatupo karibu na na hio mikoa yenye ofisi zenu, sasa tufanyeje? Mnakuwa utafikiri ofisi kinda wakati mna experience ya muda mrefu.
  11. Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea. Hapa kuna mlinganisho mfupi: 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  12. Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

    Wakuu, nataka niwe napata faida ya Tsh 2000 Kila siku.. niwekeze Tsh ngapi UTT AMIS..? 2000/= kwangu inanitosha kabisa.
  13. Nikitaka kujiunga UTT Amis ni lazima niende ofisini kwao?

    Hivi nikitaka kujiunga UTT amis ni lazma niende ofisini kwao?? Na je, mfuko gani una return nzuri?
  14. Msaada: Hivi UTT Amis wanafungua ofisi zao Jumamosi?

    Msaada kama kunamtu anajua kama utt amis wanafungua ofisi zao jumamosi
  15. Msaada Hivi UTT amis wanafungua ofisi zao jumamosi?

    Hivi ofisi zao wanafanya kazi mpaka jumamosi?
  16. Mifuko ya UTT AMIS kuanzia Januari 2024 mpaka Desemba 30 2024

    Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote. Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment kidogo ya kupitia na kuangalia huu uwekezaji kupitia mifuko ya UTT kama ambavyo mada nyingi zimewekwa...
  17. Nikiweka billioni 5 UTT Amis napata gawio bei gani?

    Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali. Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums. Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama? Nikiweka Bilioni 5 napata gawio Bei Gani Kila...
  18. A

    Hizi Terms and conditions za UTT AMIS naziona kama kandamizi, msaada kwa anae elewa zaidi anifafanulie

    Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS. Katika harakati za kutafuta maarifa kuhusu UTT AMIS nikaperuzi kwa site zao niweze ona pia vigezo na masharti walivyoweka...
  19. Mfuko upi wa UTT AMIS ni bora kukuzia mtaji wakuu?

    Samahani wakuu naomba kujua ni mfuko upi naweza kutumia kukuzia mtaji ambazo kianzio chake ni kidogo zaidi?
  20. kununua vipande UTT AMIS kwa airtel money najaribu ina goma!

    Naomba kujuzwa namna ya kuweka hela UTT kwa kutumia airtel money . Kila nikijaribu inataka niweke namba ya kampuny na mimi siijui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…