Habarini zenu ndugu zangu?
Kwa kweli inafikia kipindi nakuwa sielewi hizi ishu za mahusiano.
Mwenzenu nimekuwa kwenye mahusiano na mkaka wa miaka 33. Amenizidi miaka 4. Na tumekuwa naye kwa muda mrefu sana. Katika mahusiano yetu hayo, kiukweli sijisifii lakini nimejitahidi kuwa mwema sana...