uti

UTI Mutual Fund was carved out of the erstwhile Unit Trust of India (UTI) as a Securities and Exchange Board of India (SEBI) registered mutual fund from 1 February 2003. The Unit Trust of India Act 1963 was repealed, paving way for the bifurcation of UTI into: Specified Undertaking of Unit Trust of India (SUUTI) and UTI Mutual Fund (UTIMF).
T Rowe Price Group Inc (TRP Group), through its wholly owned subsidiary T Rowe Price Global Investment Services Ltd. (TRP), has acquired a 26% stake in UTI Asset Management Company Limited (UTI AMC).
UTI Mutual Fund is the oldest and one of the largest mutual funds in India with over 10 million investor accounts under its 230 domestic schemes/plans as of 30 September 2017.
UTI Mutual Fund has a nationwide distribution network, which is spread across the length and breadth of the country. Its distribution network comprises over 48000 AMFI/NISM certified Independent Financial Advisors and 174 Financial Centers.UTI Mutual Fund has been the pioneer for launching various schemes viz. UTI Unit Linked Insurance Plan (ULIP) with life and accident cover (Launched in 1971), UTI Mastershare (Launched in 1986), India's first Offshore Fund – India fund (Launched in 1986), UTI Wealth Builder Fund, the first of its kind in the Indian mutual fund industry combining different asset classes i.e. equity and gold which are lowly correlated.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Msaada nimeambiwa mkojo una protein3+,na leu2+ nimeambiwa ni uti

    Habar wakuu nimeambiwa Nina UTI nimepewa dawa amosclave na Panadol nin nifanye kutoa protein kwenye mkojo na dawa ipi sahihi kwa UTI kali
  2. Makao makuu ya Azuma kibono ya UTI sugu

    Watoto wa 2000 wana UTI ya juu kiwango cha zege. Yaani Hawa watoto ni Malaya Hasa jinsia hii ya Hawa watu
  3. M

    Matatizo ya UTI wa mgongo

    Habari wanaJF!! WanaJF kuna kijana anasumbuliwa na matatizo ya UTI wa mgongo anaomba msaada , yeye ni wakitandani tu mwenye chochote alichojaliwa amsaidie kwa aajili ya matibabu
  4. Dawa ya UTI Sugu

    Natoa Sadaka kwa maexpert wangu,mwenye kusumbuliwa na UTI Sugu achukue mahindi mabichi akatekate achanganye na limao lililo katwa katwa kisha achemshe Ukipoa huo mchanganyiko aweke kwenye chupa kisha anywe,kwa siku kama mara mbili au tatu kwa masiku kadhaa,kwa uwezo wa Allah, shida itakuwa...
  5. B

    Kuumwa UTI kwa muda mrefu hupelekea mtu kupungua mwili?

    Je, kuumwa UTI Kwa mda mrefu kunapelekea mtu kupungua sana Kwa mwili? Kuna rafik yangu, aliugua UTI Kwa mda mrefu akafanya urine culture akakuta bacteria wa st, aureuns akatumia dawa akapona lakini kadri siku zinavyoenda anazidi kupungua kimwili kapima magonjwa yote Hana tatizo lakini hali hii...
  6. Tangu nioe, sijaugua UTI ya korodani kuwaka moto

    Japo ndoa inanipelekesha, ila kwa upande wa afya na STDs ni kitu chema sana. Kabla sijaoa, kuumwa UTI kali ambayo hadi korodani zinawaka moto ilikuwa kawaida sana. Yaani kuna muda hadi kukaa muda mrefu ni shida maana ukikaa tu, korodani zinawaka mto. Ila baada ya kuoa, hayo mambo nimesahau...
  7. Nimegundua dawa ya UTI, gono na kaswende. Ndani ya masaa 24 mpaka 48 mtu anakuwa amepona kwa 100%. Nikiwapa NIMRI tanufaika?

    Wazee kwema! Niliugua UTI nikachukua hii dawa nikanywa ndani ya masaa 24 nikawa mzima. Nimemtest mtu mwenye gono ndani ya siku 2 akawa mzima. Nawaza niwape NIMRI waiboreshe na kuzalisha kwa wingi. Je, tapata pesa?
  8. Wakuu nimepigwa na UTI moja kali sana. Kuweni makini.

    Katoto tu kwa 2005, aiseeh
  9. S

    Janga la Malaria, Typhoid na UTI

    Malaria, Typhoid na UTI ni magonjwa ambayo yanaongoza kwa kuwa ‘diagnosed’ kwa maana nyepesi ni magonjwa ambayo utaambiwa unayo mara nyingi kama si mara zote unapokwenda kupima katika hospitali au maabara hasa hizi ndogo ndogo za mtaani. Magonjwa haya kwa mujibu wa repoti za ‘ndomo’ na takwimu...
  10. FANYENI MAPENZI SALAMA LEO MWISHO WA MWAKA HUU2024 , ILI KUANZA MWAKA MPYA 2025 KESHO BILA UTI, GONORRHEA, KASWENDE AU UKIMWI.

    Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe. Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au ukimwi. kwa wewe mwenye UTI au gono, jitibu kwanza na umalize dozi, acha kuambukiza wengine kwa tamaa na...
  11. G

    Njia rahisi ya kumtambua mwanamke mwenye UTI wakati wa kufanya tendo la ndoa.

    Wakuu habari. Leo nawelatea njia ya kutufanya tusiwe watumiaji wa AZUMA. Kabla ya kufanya mapenzi mkiwa kwenye maandaandalizi pitisha kidole kwenye uke then kinuse. Ukikuta kinatoa harufu kali hio manzi usipige au tumia kondom. Binafsi natumia hii njia Sasa hivi nimesahau habari za UTI...
  12. Vyoo vyetu vya enzi hizo, lakini ajabu hakujakuwa na magonjwa ya UTI tofauti na sasa

    Vyoo vyetu vya enzi hizo, lakini ajabu hakujakuwa na magonjwa ya UTI tofauti na sasa
  13. P

    Maofisa wadai service levy tax Kariakoo acheni jeuri na kiburi, wafanyabiashara ni uti wa mgongo wa Kariakoo

    Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati, Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...
  14. G

    UTI kali kwa mke wa mtu

    Wakuu salaam. Hivi mke wa mtu aliyeolewa inawezekana vipi akawa na UTI kali? Mme wake haipigi. Nauliza haya maswali maana yamenikuta Juzi nimetoka shamba nikakutana na mke wa jirani yangu mwalimu akanibless kimoja Cha chap! Lakini Hadi navyoongea hapa nimetoka kununua dawa ya kummaliza huyu...
  15. Msaada: Mtoto wangu wa kike miaka 3 ana UTI ya kujirudia rudia, tumetumia dawa nyingi na njia mbalimbali lakini tatizo haliishi

    Wakuu karibuni, Yaani hapa ninapoandika amekutwa tena ya Uti baada ya kumaliza dawa wiki iliyopita ya kutibu uti hio hio. Pia soma: Je, UTI ni ugonjwa wa ngono?
  16. Dawa gani inatibu UTI kali?

    Wakuu nisaidieni dawa ya UTI kali sana.
  17. S

    Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection?

    Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection? Ili kuelewa maana ya Infection na kwanini mara kwa mara unaambiwa una Infection ukienda hospitali, ni muhimu kwanza kufahamu japo kidogo jinsi mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi...
  18. M

    Msaada: Kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe nimeugua UTI

    Habar wakuu naomba msaada wenu kwa mara yakwanza tangu nizaliwe Leo usiku huu ghafla kichwa kimeniuma sanaaa katikati ya utosi. Nimekimbilia dispensary nimepimwa Sukari Iko 4.7,presha 125/76pr 65, damu14.6, nkakutwa na UTI 25 na typhoid. Je, nauliza UTI huweza sababisha kichwa kuuma hivi...
  19. Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  20. Athari za kupima UTI bila ulazima

    ATHARI ZA KUPIMA UTI PASIPO ULAZIMA Ukienda kupima malaria unaambiwa una UTI. Ukijisikia dalili za homa inayotokana labda na infection kwenye jeraha, dokta anakuambia utapata dawa za kidonda na UTI. Una jipu linalokupa homa ukaenda hospital kupasua dokta anakuambia una UTI pia. Umekula nyama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…