utekaji dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    Dar: Dunstan Daudi Mutajura adaiwa kutekwa eneo la Buza

    Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam. Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini...
  2. Cute Wife

    Waliomteka Tarimo (akina Benki) wamerudi uraiani dhamana yao imepita kimyakimya, kesi kuendelea Januari 9, 2025

    Wakuu, Kama mnavyojua watuhumiwa wa tukio la utekaji wa Talimo kule Kilivya, Benki na wenzake 5 walikamatwa Disemba 4 na kufikishwa mahakamani Disemba 6. Ikumbukwe kuwa dhamana yao ilikuwa wazi kwa masharati ya kulipa Bondi ya Shilingi Milioni 10 na wadhamini wawili kwa Kila mmoja, pamoja na...
  3. Manyanza

    Siku 100 Toka Mauaji Ali Kibao: Ukimya Watanda Juu ya Hatma ya Uchunguzi

    Leo Disemba 16, 2024, zinatimia siku 100 tangu aliyekuwa mwanasiasa mwandamizi wa chama cha upinzani cha CHADEMA, Ali Mohamed Kibao, alipotekwa Septemba 6, 2024, na mwili wake kupatikana Ununio, Dar es Salaam, Septemba 7, 2024, akiwa ameuwawa huku mwili wake ukiwa umeharibiwa vibaya. Tukio hilo...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Katibu wa Afya Hospitali ya Mwanyamala: Ulomi alipata ajali, mwili uliletwa December 11, 2024

    Mwili wa Mfanyabiashara aliyeripotiwa kupotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, umekutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanyamala huku Uongozi wa Hospitali hiyo ukisema Ulomi afikishwa Hospitalini hapo December 11,2024 majira ya jioni akiwa ameshafariki na...
  5. Waufukweni

    TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

    Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam. Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11...
  6. ChoiceVariable

    Jeshi la Polisi: Aliyedaiwa Kutekwa aliuza gari alilokodi Ili kulipa madeni ya harusi.Uchunguzi unaendelea kubaini Alikopotelea

    Jeshi la Polisi limetoa ushahidi wa awali kuhusu kupitea Kwa bwana harasi mara baada ya kumaliza harusi. Polisi wanadai ushahidi wa awali unaonesha bwana Masawe aliyepotea Aliuza gari aliyokodi Ili Kulipa Madeni na kwamba Polisi wanaendelea kukusanya taarifa Ili Kubaini kama bwana Masawe...
  7. Waufukweni

    Mke wa Ulomi asimulia sakata la kupotea kwa mumewe

    Elizabeth Munisi ambaye ni Mke wa Mfanyabiashara aliyepotea tangu December 11,2024 Jijini Dar es salaaam, Daisle Simon Ulomi, ameiomba Serikali kupitia Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuendelea na uchunguzi huku pia akiwasihi Wadau wa Haki za Binadamu na Watanzania wote kuendelea kupaza sauti ili...
  8. Waufukweni

    TRA: Hatuhusiki na kupotea kwa mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi

    Baada ya taarifa za kupotea kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini December 11, 2024 Jijini Dar es salaam, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema haihusiki na swala la kupotea kwa Mfanyabiashara huyo. Taarifa hii ya TRA inakuja baada ya...
  9. Suley2019

    Mfanyabiashara Ulomi apotea, familia na Polisi wanamtafuta

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limesema December 12, 2024 katika kituo cha Polisi Chang'ombe, Temeke ilipokelewa taarifa ya kutafutwa na Familia yake Mtu aitwaye Daisle Simon Ulomi, Mfanyabiashara ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini kwake December 11, 2024. Taarifa...
  10. Cute Wife

    Muliro mkiendelea kushupaza shingo mjue tu hali itazidi kuwa mbaya, kwa akina Soka na Sativa mko kimya hadi leo halafu mnakuja na vitisho!

    Wakuu, Muliro umeuliza swali la rahisi tu mtu anaruhusiwa vipi kukamata mtu bila polisi? Unakimbilia kuanza kuuliza vifungu. Kwahiyo maafisa TRA waha haki ya kuarrest mtu? Na wakimkamata wanampeleka wapi? Wana selo kwenye ofisi zao? Wakuu naomba muongozo hapa maana sheria za TZ...
  11. Waufukweni

    Watuhumiwa waliotaka kumteka Deogratius Tarimo (Deo Bonge) wafikishwa Mahakamani

    Watuhumiwa sita wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki leo December 06,2024, wakituhumiwa kutaka kumteka Mfanyabiashara Deogratius Tarimo katika eneo la Kiluvya Wilayani Ubungo Jijini Dar es salaam. Waliofikishwa Mahakamani ni Bato Bahati Tweve...
  12. Cute Wife

    Jeshi la Polisi limetajwa zaidi ya mara 10 kwenye mahojiano ya Ayo na Deo Bonge. Message gani ilikuwa inatumwa kwa Watanzania?

    Wakuu, Kama mnavyokumbuka wakuu tukio la Deo Bonge lilitrend mtandaoni majuzi, huku tukio hilo likiwa limetoka Novemba 11, kama ambavyo taarifa ya polisi ilieleza. Ayo TV walikwenda chap kwa kuanza kumhoji mmiliki wa hoteli, ambaye alitujuza yeye ndio alimugiza mfanyakazi mwingine aende...
  13. Just Pray

    Kufuatia video inayohusu tukio la utekaji Mohammed Kawaida asema ni movie kama movie zingine zenye lengo la kupata huruma kwa wananchi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mohammed Kawaida kupitia mtandao wa Instagram akijibu post ya Twaha Mwaipaya ambaye alichapisha video iliyorekodiwa katika eneo la Kiluvya Madukani jijini Dar es salaam ambapo inaonesha tukio la utekaji ambalo halikufanikiwa, Kawaida amesema "Hii ni movie kama movie nyengine...
  14. Abdul Nondo

    Kwanini Polisi wanakwepa kutumia neno "Kuteka" katika taarifa yao wanatumia "Kukamata"?

    Yaani Polisi Tanzania wanasema wanaanza uchunguzi wa video inayoonesha watu wakijaribu "kumkamata " na "kujaribu kumuingiza kwenye gari". Polisi kwanini wanatumia neno kukamata? Kwanini neno kuteka wanalikwepa? Mfano hiyo taarifa wangeiandika kwa kingereza, wasingethubutu kuandika" Some people...
  15. Cute Wife

    Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

    Wakuu, Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana. ===== Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo; "Tukio hili la utekaji...
  16. S

    Dar: Askari polisi auawa baa ya Kitambaa Cheupe, njia panda ya Nzasa, usiku wa kuamkia 6.10.2024

    Tarehe 06.10.2024 saa 10:00 (usiku) maeneo ya bar inayojulikana Kitambaa Cheupe, njia panda Nzasa, askari namba J.3297 PC. Barnaba Andrea Mhonya (30 yrs) mkazi wa Chamazi na askari wa Jeshi la Polisi Tanzania aliuwawa na mtu/watu wasiojulikana kwa kumjeruhi na silaha yenye ncha kali kati ya...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Chalamila: Mabinti na Vijana wanajiteka wenyewe, taarifa zikifika kwa vyama vingine wanadhani kwamba amani imetoweka!

    Wakuu, Wanasema watu wanajiteka huku hamna tishio lolote nchini la watu kujiteka! CCM mnataka kuzidisha watu hasira zaidi ya hivi hali ilivyo sasa!
  18. Mindyou

    Kamanda Muliro: Ndio maana sitaki kubishana, Jeshi la Polisi ndio lilimuokoa Sativa kule Katavi!

    Wakuu, Mnakumbuka ile clip ya Sativa baada ya kupatikana kule Katavi na akiwa amezungukwa na wananchi ambao ndio walijitolea kumpeleka hospitali na kuhakikisha anakutana tena na familia yake? Kama utakuwa hujaona hiyo clip, nimeiweka hapo chini. Ni clip inayomuonesha Sativa akiwa amezingirwa...
  19. Waufukweni

    Askofu Mwamakula: Taifa linaelekea kubaya watawala wasiwe viziwi kwa haya matukio

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emau Mwamakula, ametoa tahadhari kuhusu hali ya usalama nchini. Akizungumza kwenye mahojiano na Jambo TV, Mwamakula ameeleza kuwa watekaji wapo ndani ya jamii na hatari inayokua inapaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa. Amesisitiza haja ya...
  20. Waufukweni

    Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza vyenyewe sakata la Mauaji na Utekaji nchini

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameibua wasiwasi juu ya uwezo wa vyombo vya usalama nchini kuchunguza kesi za mauaji na utekaji zinazoshika kasi hivi karibuni. Lissu amesisitiza kuwa ni vigumu kwa vyombo hivyo kujichunguza vyenyewe na kutoa haki, akidai kuwa uchunguzi wa huru...
Back
Top Bottom