utekaji dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Mtindo wa kukamata na kuweka kizuizini zaidi ya Saa 24: Je, Ni adhabu ya muda iliyobuniwa?

    Katika siku za karibuni, nchini kumeendelea kushuhudiwa matukio ya watu kukamatwa na vyombo vya dola, hususan Jeshi la Polisi, na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani au kupewa dhamana. Baadhi ya watuhumiwa huachiwa huru baada ya siku kadhaa bila...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Maria Sarungi aripoti Al-HAJJ NOURDIN MUSHI ametekwa tangu jana 05 September, 2025

    Jina: Al-HAJJ NOURDIN MUSHI. Ametekwa jana 05/September/2025 majira ya saa moja jioni. Imeripotiwa: RB No:- MBN/RB/2209/2025 Kituo cha polisi Mbweni. Mwenye taarifa awasiliane na namba:- 0683772862. Ndugu walimwona jana saa 11 jioni akiwa na watu waliojifanya wanataka kukodi gari...
  3. B

    PreGE2025 Gwajima: Kwenye suala la utekaji sitayumba mpaka waliotekwa wajulikane walipo

    Gwajina kasema kwenye hili swala hatayumba mpaka kila aliyetekwa ajulikane yuko wapi na anafanya nini. Lakini pia kila aliyepotea "missing person" wapatikana na kujulikana walipo, kwa msisitizo Gwajima kaongea na kizungu.
  4. McLaren

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida: Sio kila anayepotea, katekwa na vyombo vya dola!

    Wakuu, Wimbi la wanasiasa kutetea watekaji linaendelea! ================================================ Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida amebainisha kuwa sio kila mtu anayetekwa ametekwa na vyombo vya dola. "Niendelee kusisitiza kwamba siyo kila anayetekwa, Siyo kila anayekufa ametekwa...
  5. MwajabuOmary

    Nguvu iliyotumika kupambana na Wakenya ingetumika pia kwa watekaji, Gwajima asingekuwa na hoja

    Maeneo matatu hapa nchini yameonyeshwa kukerwa na wanaharakati kutoka Kenya. Makundi hayo ni kama wafuatao: Serikali Kuu, Bunge, na kundi la machawa. Vyama vya siasa, na hasa chama chao cha mageuzi. Natamani nguvu hiyo pia ingetumika kupambana na kundi hili la wasiojulikana. Kwa Tanzania sasa...
  6. K

    Dear Gwajima, soma Danieli 5:25. Mene, mene, tekeli, na peresi. Ubunge wako huwezi kuulinda kwa kuzitisha mamlaka

    Mama, Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wangu wa chama Dk Samia Suluhu Hassan. Kawe kuna Mbunge anaitwa Gwajima. Anajiita Askofu na ana kanisa lake. Huwa anajinadi kuponya vilema na kufufua wafu japo hataki kwenda Muhimbili kuponya walemavu wala makaburini kufufua. Mwigizaji pia...
  7. J

    PreGE2025 Askofu Jackson Sosthenes wa Anglican: Watu wanatekwa, wanauliwa na kuvamiwa. Wote wanaofanya hayo wanapora mamlaka ya Mungu

    Askofu Jackson Sosthenes wa Anglican Church DSM amekemea vikali watu wote wanaoteka wenzao na kuwaua na amewakumbusha iko siku nao Watakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu wa mbinguni Askofu Jackson ametoa onyo hilo kwenye misa ya Msiba wa aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ya...
  8. R

    Viongozi tuambieni ndugu zetu walipo kabla ya kusogeza sadaka madhabahuni

    Helow! Tusijisahaulishe kuwa, toba huanza kwanza, Kisha sadaka hufuata baadaye. Uraiani tunawaulizeni, wapi alipo ndugu Soka na wenzie, badala ya kutujibu wapi waliko, mnawahi madhabahuni kusogeza sadaka! Mmesahau kuwa sadaka pia hukataliwa? Ikiwa hatusomi maandiko, tukumbuke sadaka ya...
  9. ACT Wazalendo

    PreGE2025 Tunataka uchunguzi haraka kutekwa kwa raia wawili Kigoma na Dar es salaam na uzembe wa jeshi la polisi

    Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kulaani vikali kutekwa kwa wananchi wawili Dar es Salaam na Kigoma katika mazingira yanayotia shaka, huku Jeshi la Polisi likionyesha uzembe wa hali ya juu katika kushughulikia matukio haya. Matukio haya yanatoa picha ya wazi kwamba ama...
  10. upupu255

    Mwabukusi: Polisi watuambie huu ni utekaji au ukamataji?

    Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amechukuliwa kwa nguvu na Watu wasiojulikana ambao walikuwa wamebeba silaha na ripoti zinadai tukio hilo limetokea February 20,2025 saa saba mchana katika Kituo cha Mafuta cha Puma kilichopo Kibaha Mkoani Pwani. Kwa mujibu wa ripoti za Mashuhuda Kijana...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Waliojaribu kumteka Tarimo walitaka kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi kuendelea Februari 24, 2025

    Wakuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imeelezwa kuwa vijana sita, wakiwemo mabondia wawili, walipanga kumteka mfanyabiashara Deogratus Tarimo kwa lengo la kumlawiti na kumsababishia maumivu. Kesi hiyo, inayowakabili washtakiwa Fredrick Nsato (21), bondia Isaack Mwaifuani (29), Benk...
  12. Mashamba Makubwa Nalima

    Arusha mashuhuda wasimulia dereva na konda walivyotekwa stendi mchana kweupe

  13. Waufukweni

    Mbunge Msambatavangu ataka Serikali itoe majibu kuhusu masuala ya Utekaji wa Watu

    Mbunge wa Iringa Mjini Jesca Msambatavangu ameiuliza Serikali kuwa imejipanga vipi kudhibiti kile alichokiita kuwa wizi wa binadamu (utekaji) nchini Tanzania. Swali hilo lilielekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi na lilitakiwa kujibiwa na Naibu Waziri Daniel Sillo. Lakini Spika wa Bunge Dkt...
  14. Cute Wife

    Kesi ya waliojaribu kumteka Tarimo kuendelea Januari 21, 2025 baada ya jalada kutokuwepo Januari 9. Ni mara ya pili mfululizo kukwama

    Wakuu, Hii kesi naona mauzauza, inaenda kama haiendi inakuja kama haiji. Yaani wanafanya kusudi kabisa ili iishie juu kwa juu. Ngoja tuone nini kitajiri hiyo kesho wakati CHADEMA wakiuamua mbivu na mbichi. ===== Kwa mara nyingine tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni, iliyopo Kinondoni...
  15. Waufukweni

    Godbless Lema: Hisia zangu naona Soka hayuko hai, ameuawa

    Godbless Lema amesema kuwa hana taarifa zozote kuhusu Soka, lakini hisia zake zinaonyesha kuwa Soka hayuko hai. Alisema: "Sina taarifa zozote lakini hisia zangu zina nambia Deus Soka hayuko hai, ni bahati mbaya sana kuwa na hisia hizi, hakuna Serikali inaweza kumshikilia mtuhumiwa mtoto kama...
  16. W

    Abdul Nondo awataka Watanzania wote kuungana kukemea utekaji

    Mwenyekiti wa ngome ya vijana akizungumza na waandishi wa habari leo January 9,2025 amesema kuwa “Naomba niwaambie watanzania suala la ulinzi na usalama ni jambo ambalo tunapaswa tuungane kwa pamoja kupaza sauti zetu kupinga kukemea haya matendo. Na wala tusiseme kwamba haya matukio yanatokea...
  17. Waufukweni

    Abdul Nondo wa ACT Wazalendo atoa tamko kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, anatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli. Fuatilia hapa akitoa tamko lake https://www.youtube.com/live/LyTw1PpXT4I?si=Ze8FhWkwx-7UfKkb "Baada ya kutekwa katika stendi ya Magufuli mashuhuda waliotoa taarifa ndio...
  18. Mindyou

    Mtangazaji wa TV3 Gwamaka Francis aliyetangazwa kupotea siku kadhaa nyuma apatikana kwa shangazi yake Kitunda

    Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya kupatikana kwa Mtangazaji wa TV 3, Gwamaka Francis Gehas maarufu kama 'Boiboi Mkali' mkazi wa Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam, aliyedaiwa kupotea tarehe 3 Januari, 2025 amepatikana akiwa kwa shangazi yake Kitunda, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya...
  19. Cute Wife

    PreGE2025 Watu wanaopotea/kutekwa karibuni kupatikana kwa ndugu/jamaa kuna jambo linatengenezwa, there are no coincidences!

    Wakuu, Hivi karibuni kama mmefatilia kwenye matukio haya ya kupotea/kutekwa na watu wasiyojulikana mtagundua kuna kitu, kuna pattern inatengezwa kuisafisha serikali na vyombo vya ulinzi, kwa kufanya kuwa wote waliotekwa wameamua kujificha wao wenyewe kutokana na sababu mbalimbali. Wakienda...
  20. Mindyou

    Mwandishi wa habari wa Ayo TV, Eugene Peter amepotea na hajulikani alipo. Familia yake inamtafuta

    Mwandishi wa Habari Eugen Peter anatafutwa na Familia yake pamoja na Ofisi yake ya Ayo TV Dar es salaam baada ya kutoweka bila kujulikana alipo leo ikiwa ni siku ya tisa. Mara ya mwisho Eugene alionekana mazingira ya nyumbani kwake Jumapili December 29,2024 majira ya saa mbili usiku. Familia...
Back
Top Bottom