utawala

  1. JamiiForums Tanzania Pale Gerezani Mukamira Rwanda wapo kila raia kutoka nchi zote A.Mashariki, hasa wakosoaji wakuu wa utawala na utalazimishwa kukiri kosa au kuuawa

    Pale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji "Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
  3. JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    U.S. Embassy Tanzania Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…