utawala wa samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzee Mwanakijiji

    Haki Huinua Taifa...na Utawala wa Samia...

    Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu unaweza kuona ni kwanini "haki huinua taifa". Nimeandika hivi majuzi nikiendeleza tafakari iliyofanywa...
  2. Lord Denning

    Diaspora mliopo Marekani tusaidieni kupata Arrest Warrant ya Samia na Wasaidizi wake katika Mahakama yoyote ya Marekani

    Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni. Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote...
  3. O

    Je, Utawala wa Samia Unaielekeza Tanganyika Kwenye Njia Hatarishi Inayofanana na Mauaji ya Halaiki ya Darfur?

    Sudan inakabiliwa na moja ya majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani. Tangu Aprili 2023, zaidi ya watu 400,000 wameripotiwa kuuawa na takribani watu milioni 12 wamekimbia makazi yao. Kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) kimeshutumiwa vikali kwa mauaji ya kimfumo dhidi ya raia wa makabila...
  4. Genius Man

    PostGE2025 Utawala wa Samia umeua watu wengi sana katika historia ya Tanzania

    Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.! Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa. Tukutane #D9
  5. Lord Denning

    GE2025 Kikatiba, Utawala wa Samia mwisho wake ni leo. JWTZ chukueni nchi na wakamateni kina Mafwele na wengine wote

    Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena. Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
  6. Luca Paguro

    Tiktok kwa moto huko, hivi wale ni Watanzania wenzetu kweli maana sio poa

    Wadau, Watanzania wamechoka na huu utawala. Yani Tiktok ni mtandao ambao wabongo wameu criticise sana ila kwa sasa ndio mtandao unaoongoza kwa kutokuwa na vijana waoga Nyie, kumbe ukiwa unakaribia kupata uhuru ndo unajisikia raha hivi, hamna siku nimefurahi kama leo 😂😂😂 Hebu angalieni hii...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Tangu tupate uhuru haijawahi kutokea kipindi ambacho Watanzania wanajenga nyumba na kununua magari mazuri kwa kasi kama kipindi cha Samia

    Kipindi cha Nyerere kilikuwa kipindi cha reforms hivyo kuhusu maendeleo ya watu hapaswi kulaumiwa. Congratulations Mr. Nyerere Kipindi cha Mwinyi kilikuwa kipindi cha rebuild, ni kama vile Watanzania walikuwa wanaanza kuishi. Good Mr. Mwinyi . Kipindi cha Mkapa kilikuwa kipindi cha kufanya...
Back
Top Bottom