Kwa mujibu wa Ripoti inayowasilisha takwimu za mawasiliano za robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Mikoa ya Rukwa yenye majaribio 6,861 na Morogoro yenye majaribio 6,126 ya ulaghai mtandaoni ndiyo inayoongoza, ikiwa na zaidi ya theluthi moja ya majaribio...