Mahoteli ni matupuuu,hata zile budget hostels. Utalii unayoyoma kwa kasi aisee.
Uchumi wa Zanzibar ni utalii naa utalii wa Zanzibar umeshambuliwa na Serikali na global instability especially middle east. Ndege zote za watalii wanokuja Zanzibar chanzo kikubwa ni middle east. Ukijumlisha na...
Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka Watalii, Wafanyabiashara na Wadau wa utalii Zanzibar kuheshimu maadili ya Dini na Utamaduni uliopo Zanzibar kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani.
Kamisheni imesema ni lazima Migahawa na sehemu za chakula zilizo nje ya Hoteli zifungwe hadi...
Air France imetangaza kusitisha kwa muda safari zake za moja kwa moja kati kutokea Paris kwenda Zanzibar kuanzia Machi 22 hadi Mei 25, 2025.
Taarifa hii inakuja katika kipindi ambacho wageni kutoka Ufaransa Ufaransa pekee kwenda Zanzibar wamechangia asilimia 10 ya jumla ya wageni waliowasili...
Klabu ya soka ya Chelsea inayoshiriki michuano ya ligi kuu ya Uiengereza imechukua jukumu la kukuza utalii wa zanzibar ambapo mabingwa hao wa ligi kuu ya uingereza wanatarajiwa kuanzisha shule ya kuibua vipaji visiwani hapo . Hayo yamebainishwa katika kikao kati ya rais wa Zanzibar Hussein...
Klabu ya Chelsea itavaa jersey yenye ujumbe wa visit Zanzibar kwa msimu huu huku Tanganyika ikiwekwa kando kama mtoto asiye na wazazi.
Kwa sasa kila jambo linakimbizwa Zanzibar hasa kimataifa ili Zanzibar ifahamike zaidi.
USSR.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.