utalii wa ndani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masalu Jacob

    Utalii wa ndani - Mikoa yote uhamasishwe kwa uzuri

    Habari Tanzania ! Hivi hatuwezi tukawa na uhamasishaji wa kujifanyia Utalii wa ndani aidha Wilaya moja kwenda nyingine au Mkoa mmoja kwenda mwingine. Tuboreshe utaratibu kwa kuweka mambo machache kwa kutozana bei ndogo tu ila pawe na masharti kadhaa. Mfano wa hayo masharti: 1. Lazima ulale...
  2. profHarryEnock

    Wito kwa Wakazi wa Moshi: Fursa Adimu ya Kujifunza na Kufurahia Utalii wa Ndani

    Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi, Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa kulijadili – ni fursa adhimu, inayowahusu wote, iwe bado hujaoa au kuolewa, ama hata kama tayari una...
  3. Prof_Adventure_guide

    Legends of the Land – Tuinue Utalii wa Ndani, Tuoneshe Nguvu ya JamiiForums!

    Hoja Yangu kwa Wanajukwaa na Wasimamizi wa JamiiForums: Wana JF wenzangu, Nchi yetu imebarikiwa kwa natural wonders ambazo dunia nzima inazitamani – kutoka kilele cha mlima mrefu barani Afrika, Mlima Kilimanjaro, hadi Ngorongoro Crater yenye historia ya kipekee, Serengeti yenye migration ya...
  4. Masalu Jacob

    Utalii wa ndani kwa watoto hasa hawa wa shule za Msingi na Sekondari

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza kwa kukaribisha hoja ya Utalii hapa nchini. Je, hatuwezi kuwa na Utalii wa ndani (Domestic Tourism) kwa kuwapatia watoto wa Shule za Msingi na Sekondari (Serikali na Binafsi) haki ya kuona vivutio vya nchi yao na hii kitu iwekwe kwenye mitaala ya Elimu yao...
  5. W

    Kwanini utalii wa ndani haupewi kipaumbele Tanzania

    Katika pitapita zangu za kufuatilia vivutio vingi vya Tanzania, na huduma zake nimegundua mambo kadhaa ya kushangaza sana. Kwanza kabisa , Watanzania wengi hawapendelei kutembelea vivutio vyao vya utalii, wengi wao hawapo interested kabisa na utalii, hatuna culture ya kutalii na kiukweli wengi...
  6. Prof_Adventure_guide

    Utalii wa Ndani ni Mali Yetu – Jitokeze Kujionea Uhalisia wa Tanzania Yetu!

    Utalii si wa wageni pekee. Ni wakati sasa wa sisi Watanzania kuamka, kujua, na kuthamini uzuri wa nchi yetu. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa kila hali – milima, maziwa, hifadhi, visiwa, maporomoko, mapango, historia, na tamaduni zenye utajiri mkubwa. Lakini kwa masikitiko, wengi wetu...
  7. Prof_Adventure_guide

    Utalii wa ndani pamoja na familia zetu

    Habari, wapendwa Watanzania! Ningependa kuwajulisha jinsi utalii wa ndani ulivyo na raha na fursa nzuri kwa kila mmoja wetu. Kama mtaalamu wa utalii (Professional Tour Guide), Planner wa Likizo (Holiday Planner), na mmiliki wa Shirika la Utalii (Travel Agency), mimi ni tayari kukusaidia kupanga...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Chama Cha Walimu Wastaafu Mlandizi wamewahimiza wastaafu wenzao kutembelea vivutio vya utalii

    Chama Cha Walimu Wastaafu wilayani Mlandizi mkoani Pwani wamewahimiza wastaafu wenzao wastaafu wengine kutembelea vivutio vya utalii ikiwa ni sehemu ya kupongeza jitihada za kukuza utalii nchini. Wastaafu hao wametoa wito huo wakati wa ziara waliyoifanya kwneye mbuga ya Saadani iliyopo mkoani...
  9. Prof_Adventure_guide

    Mpango mzuri na mawazo kwaajili ya safari za utalii wa ndani kwa wana JF

    Wana jamvi, Planning a successful tour requires ushirikiano na makubaliano ili kuhakikisha kila mtu anafurahia safari. You have the freedom to organize any travel adventure, select the best destination, and set a budget inayokidhi mahitaji ya kila mmoja. It's very important to support domestic...
  10. Genius Man

    Natafuta watu wa masuala ya usafiri wa anga pamoja na masuala ya utalii wa ndani ya nchi na nje

    Kwema wakuu, Nahitaji watu wa masuala ya usafiri wa anga wa ndege na helicopter wanatakiwa wawe na experience kwenye masuala yote ya usafiri wa anga nahitaji watanzania lakini kama kuna wakenya, wauganda au waburundi au nchi nyengine yoyote unakaribishwa. Nahitaji pia wale watu wo masuala ya...
  11. Prof_Adventure_guide

    Niulize chochote kuhusu utalii wa ndani na nje au kuhusu hifadhi yeyote ya taifa na shughuli zanazopatika katika maeneo hayo

    Habari zenu wana janvi Leo nitajibu maswali yote yanayohusiana na utalii wa ndani na nje pamoja na shughuli za kitamaduni zinazofanyika katika aina hizi za utalii. Nitajibu maswali yote kwa umakini na uelewa hivyo nawakaribisha kwa maswali kuanzia sasa! Karibuni katika uwanja wa maswali.
  12. Magical power

    Je, unajua kwamba karibu na Ziwa Eyasi nchini Tanzania, kuna kabila la kale la watu takriban 1,000 ambao ndio wawindaji wa mwisho waliosalia nchini?

    Je, unajua kwamba karibu na Ziwa Eyasi nchini Tanzania, kuna kabila la kale la watu takriban 1,000 ambao ndio wawindaji wa mwisho waliosalia nchini? Wahadzabe wameishi maisha mengi kama walivyoishi kwa maelfu ya miaka, wakitegemea ujuzi wao wa kina wa asili na desturi za jadi kuishi. Licha ya...
  13. Prof_Adventure_guide

    Njoo utembelee na ujue historia ya Serengeti and Ngorongoro crater safari ya kutwa.

    Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area. Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
  14. Right Marker

    Watanzania wengi wana msongo wa mawazo (stress) kwasababu hawafanyi Utalii wa ndani

    📖Mhadhara (56)✍️ Unaishi miaka 70 mpaka unakufa hujawahi hata kuzunguka maeneo yaliyopo ndani ya nchi yako (Tanzania) ambayo yataifurahisha akili yako. Si kwamba huna hela, bali unaendekeza sana mambo ya hovyo kuliko mambo mengine mazuri. Tanzania ni nchi ambayo imejaaliwa kuwa na vivutio vingi...
  15. Mad Max

    Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

    Wakuu, wazee wa nature. Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater. Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa. Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai. Pamoja na kwamba ni weekdays ila...
  16. Prof_Adventure_guide

    Welcome to the ultimate wedding safari extravaganza in Tanzania's national parks

    Mtende is a beautiful area located in Zanzibar, known for its stunning white sandy beaches, crystal-clear blue waters, and serene natural surroundings. Visitors to Mtende can immerse themselves in the peaceful and tranquil atmosphere while enjoying a range of activities such as snorkeling...
  17. All about Tanzania life

    Niliyoyaona nilipotembelea mkoani Tanga

    Habari, karibu Tanga, huko wanapaita TA, Tanga rahaa na mahali pekee hapa Tanzania kwenye sifa ya kuwa nyumbani alipozaliwa bwana Mapenzi!!.. Mwanzoni kabisa mwa mwaka huu nilibahatika kutembelea mkoa huu unaotoa jiji mojawapo kongwe zaidi Tanzania.. Dhumuni kuu likiwa kwenda kujionea mambo...
  18. All about Tanzania life

    Unaweza kutembelea Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani

    Baada ya pilika pilika za mwezi mzima, siku moja unaweza kupanga kutembelea Wilaya ya Mkurunga Mkoani Pwani na kugundua ziwa moja wapo linalopatikana mkoani hapa. Hili ni ziwa Mansi, linapatikana takribani kilomita 70 kutoka Dar es Salaam. Sio mbali sana na jiji la Dar es salaam na kama...
  19. LICHADI

    Siku moja fanya huu utalii kwa kwenda mikoa ujawahi enda, utaenjoy

    Utalii sio lazima uende Serengeti Moja ya utalii ni kwenda mikoa ambayo hujawahi kufika unaweza ukajikuta unafurahia pia Kuna siku nilipanda basi tu nikasema ngoja nikaione Mtwara kama masihara Ile napita Mkuranga, Kibiti, Rufiji Daraja la Mkapa, Nangukuru, Lindi aisee Mkoa Wa PWANI, LINDI...
  20. V

    SoC04 Namna ya kuboresha sekta ya Utalii nchini Tanzania Ili kuongeza vivutio kwa watalii wengi ndani na nje ya nchi

    Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa wa utalii kutokana na aina mbalimbali za wanyamapori, mandhari nzuri na urithi wa kitamaduni. hata hivyo, pamoja na faida hizo, nchi inakabiliwa na changamoto katika kuvutia idadi kubwa ya watalii ikilinganishwa na baadhi ya nchi jirani kama Kenya na Afrika...
Back
Top Bottom