utakatishaji wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Angalia utakatishaji wa fedha unaokuja

    CHAUMMA hawana wanachama wa kuwachangia. Watachota fedha toka hazina kupitia ubabe wa CCM, then wajifanye wamechangiwa....time will tell! Jiulize, Chaumma ilipata wapi hela za kuzunguka na helcopter? Nonsense! wanadhani watu wajinga!
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wachina 4 wakamatwa kwa utekaji nyara na utakatishaji wa fedha Dar es Salaam

    Raia wanne wa China, Deng Anqing, Fan Zhong Hua, Zhang Jianjun na Den Qiang wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es salaam wakikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo la kuteka nyara kwa nia ya kudhuru na utakatishaji wa fedha. Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao leo Juni 18...
  3. JamiiForums Tanzania Utakatishaji wa fedha wa kutisha unaofanywa na baadhi ya watumishi wa mchongo

  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha Kenya: Kuna Wakenya wanapiga pesa za Umma wanaenda kuzitakatishia Tanzania na baadae wanarudisha Kenya

    Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo. Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…