usumbufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

    Kutumiwa pesa toka nje ya Nchi sasa ni dhahama kubwa maofisa wa BOT wanaleta usumbufu mkubwa na baadhi wamegeuza kama kitengo cha kupigia pesa kwa kuwatisha waliotumiwa pesa kuwa watapewa kesi za utakatishaji pesa. Utawala huu imepelekea wajanja wachache kutumia fursa hizo kujinufaisha na hapo...
  2. JamiiForums Tanzania Sikuelewa nia ya Koplo Laurent Trafiki wa Kiluvya

    Siku ya Jumatano tarehe 26 August 2020 majira ya saa moja na nusu asubuhi eneo la Kiluvya nilisimamishwa na Trafiki na akaniambia niweke gari kando. Akaniambia nimekwenda kinyume na sheria za barabarani hivyo nastahili kuchapwa viboko! Nilivyoona anaongea lugha za mzaha na mimi kiukweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…