ustawi

Chama cha Haki na Usitawi (CHAUSTA) is a political party in Tanzania. The party was registered on 15 November 2001. Its founder and current chairman is James Mapalala, a former national chairman of the Civic United Front.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kinachotakiwa kufutwa mapema kwa ustawi wa Taifa

    Hiki chama ..kinatakiwa kufutwa haraka sana . Watu wengi wenye nia ovu na Taifa letu wamejifichà katika kivuli cha hiki chama. Wananchi wengi wanahitaji Amani ya kweli. :pPendekezo msajiri ebu futa hiki chama Mara moja . tunaitaji Tz imara isiyokuwa na vyama vyenye kulea watu waovu.
  2. Uchumi wa Mifugo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni ni "kaburi" la ustawi wa Watoto wa Kike nchini

    Amina (siyo jina halisi)mwanafunzi wa kidato cha tatu katika mojawapo ya shule za sekondari wilayani Kibaha mkoa wa Pwani kila siku anaamka saa 11 ili awahi kwenda shule,shule iliyopo umbali wa kilometa sita kutoka nyumbani kwao.Kila siku anaenda na kurudi kwa miguu, nyumbani hapati kifungua...
  3. I

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dhana ya Ndoa: Jinamizi hatari kwa Ustawi wa Wanawake, hatma ya Watoto

    Na Ibrahim Rojala Ondoka,nenda kwenu,mwanamke gani wewe,beba mizigo yako na watoto wako,sipendi ujinga! Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila uchwao,iwe mijini au vijijini hapa nchini,Tafsiri rahisi ya maneno hayo hayo huwa ni ndoa...
Back
Top Bottom