Wakuu habari, this is urgent naomba msaada. Niende moja kwa moja kwenye mada mambo yasiwe mengi.
Nimelala saa nne usiku huu saivi ni saa 7, nilichokurupukia ni ghafla tu nmegundua siko salama, ngozi inavutana na vinyweleo vimesisimka. Nasikia milio ya panya ile (swi swi swi).
Siko usingizini...