usiku mwema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Avith almachius

    Ujumbe kwa Watanzania. Nawatakia Usiku Mwema

    Hadharani una furaha, sirini unalia. Hadharani ni maarufu, sirini ni mpweke. Hadharani ni jasiri, sirini mnyonge. Hadharani una hekima, sirini ni mjinga. Hadharani ni mwema, sirini ni mwovu. Hadharani ni mcha Mungu, sirini ni mshirikina. Hadharani umeridhika, sirini una roho mbaya. Hadharani una...
  2. Pdidy

    Saaa sita na robo KOMBE limeelekea na ndege MOROCO tuwatakie vijana usiku mwema na safari njema kwa KAZI nzuri pls.....

    Habari za uhakika Dk 20 zilizopita timu ya berkane imeleekea MOROCO wakiwa na KOMBE lao walilopata BAADA ya kutoka drw na Simba sc UWANJA WA Amani Taarifa zaidi vijana WA Simba bado awajarudi dar es salaam na aijulikan watarudi kwa meli boti ama ndege KWA KAZI nzuri waliyofanya Naomba...
  3. K

    Ni Muda gani sahihi wa kumtakia mtu usiku mwema?

    Wapendwa naomba niulize kwani ni Muda gani sahihi wa kumtakia mtu usiku mwema?
Back
Top Bottom