ushoga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais wa Senegal asema nchi hiyo hairuhusu ushoga

    RAIS wa Senegal Macky Sall ametetea hatua ya taifa lake kupiga marufuku mapenzi baina ya watu wa jinsia moja, wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau. Mataifa 28 kati ya 49 yaliyoko Kusini mwa janga la Sahara yameweka sheria zinazopiga marufuku shughuli kama vile ushoga na...
  2. J

    Askofu Gamanywa: Makonda yuko sahihi Ushoga umekatazwa kwenye Biblia, wananchi acheni kushabikia dhambi

    Askofu Gamanywa ambaye ni mjumbe wa kamati ya amani na juzikati aliliombea taifa pale Ikulu katika utiaji saini mkataba wa Barrick na Serikali amesema Marekani inamuonea Makonda. Askofu Gamanywa amesisitiza kuwa ushoga ni katazo mbele za Mungu na ni dhambi isiyosameheka. Gamanywa amedai kuwa...
  3. Wazungu wana akili, wameweka mtego, wakifanikiwa hili la mimba mashuleni wanakuja kwenye lengo lao hasa, Ushoga!

    Ndiyo wanajua kuna Watanzania Majuha wanawaunga Mkono . Najiuliza hivi hawa Watoto wanaopata ujauzito Mashuleni wameanza kuzuiliwa kurudi awamu hii? Nakumbuka wakati nasoma kuna wanafunzi walikuwa wakipata ujauzito, wanachukuliwa na gari la shule chini ya ulinzi wa Matron wa shule na Polis hadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…