Shikamooni wakuu,najua wote humu ni wakubwa kuliko mimi,,Naomba Niweke wazi furaha yangu ya kujiunga Jamiiforum tangia Nikiwa secondary miaka ile ya Uchaguzi mkuu uliomweka huyu Rais wa awamu ya 5 madarakani,,Jf ili nisaidia sana na inaendelea kunisaidia katika mambo ya kitaaluma hadi kesho...