Wapenzi Wanaume,
Hakuna aibu kusema,
"Babe, siwezi kumudu hicho kitu."
Usiende kukopa au kuwa na madeni ili kumfanya mwanamke afurahi, hawatakujali.
ishi maisha yako kwa uwezo wako, vinginevyo utakufa mapema kwa sababu ya mfadhaiko. Na kabla hujafa, mkeo au mchumba wako atakuwa amekuwa na...