ushauri kwa vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    Ushauri kwa vijana: Hakikisha ndani ya miaka hii 4 ya Rais Samia umekaa mahali sahihi. Mtanikumbuka

    Hello! Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi. Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye...
  2. The Legacy

    Ushauri kwa Vijana mjini

    Nawasalimu, Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo. Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia. Huko wakujue kwa jina tofauti, na...
  3. Tlaatlaah

    GE2025 Ushauri kwa vijana: Msithubutu kushiriki vitendo vya fujo au maandamano ya ghasia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Nawasihii kamwe msithubutu wala msikubali kubebwa ufala wa kifikra na vibaka au matapeli wa kisiasa ambao wamepoteza uelekeo wa kisiasa na wasio na agenda za maendeleo yenu, eti mkazuie waTanzania huru wasitimize haki zao za kikatiba za kupiga kura. Epukeni kutumika au kuchochewa kufanya mambo...
  4. S

    Ushauri kwa vijana Wakike na Kiume

    Ushauri huu unatoa mwanga mzuri kwa vijana kuhusu maadili na namna ya kujitunza. 1-no tattoos 2-no kutoboa pua na maskio kwa wanaume. 3-no twerking hadharani. 4-usivae kibukta kinachoacha nusu paja wazi. 5-jifunze kutengeneza hoja jifunze kuongea na watu 6-ukipata chance ya kusoma piga book...
  5. KIXI

    Ushauri kwa vijana ambao bado hawajaoa

    "Kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa, fikiria kwa makini kuhusu mpenzi unayemchagua. Usioe mwanamke amehamia na kupanga nyumba kwa maisha yake mwenyewe. Badala yake, tafuta mwanamke ambaye bado yupo kwa wazazi wake au nyumbani kwao. Ninasema haya kutokana na uzoefu; utakuja kunishukuru baadaye."
  6. Utawala2025

    Mje mtushauri vijana wa miaka 25 hadi 40

    Habari, Nimekuja na mada hii kwa wazoefu wa maisha mnaweza kutusaidia sisi vijana wadogo ambao tuko kwenye miaka 23 hadi 40. Maisha yetu yamekuwa ni ya matarajio mengi sana lakini uhalisia wa hayo matarajio ni tofauti na tunavyofikiria au tulivyoahidi. Umri umefika tumejikuta tuna wake...
  7. Analog

    Ukipewa nafasi ya kuwashauri vijana wa kitanzania, ushauri gani ungewapa ushauri kwa manufaa ya jamii inayowazunguka na Taifa pia?

    Hakika vijana ndo taifa la kesho na nguvu kazi kwa taifa na jamii inayomzunguka, tusipowekeza kwa vijana tunaweza kuja kuwa na jamii na taifa la hovyo hapo mbeleni. Ni upi ushauri wako ungeliwapa endapo ungepewa nafasi ya kuzungumza nao?
Back
Top Bottom