usalama barabarani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ajali za barabarani ni matokeo ya kufeli kwa mfumo wa usalama barabarani

    Kwa mujibu wa Mfumo Salama wa Usalama Barabarani (Safe system approach), kunapotokea ajali barabarani, maana yake kuna sehemu kwenye mfumo wa usalama barabarani ni dhaifu na hivyo pamefeli. Kufeli huko husababisha madhara mbalimbali ikiwemo ajali yenyewe, vifo, majeruhi, na uharibifu wa mali...
  2. Dkt. Charles Msonde: Serikali imeongeza kasi ya kuimarisha usalama barabarani kupitia mafunzo ya kitaalam

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka katika kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo...
  3. Tetesi: Gari mbili zina usajili mmoja zinatamba tu barabarani na wala LATRA hamna hatua wanayochukua

    Na utaambiwa mamla husika haioni haya? Gari mbili tofauti na zina plate number moja zinatamba barabarani alafu utaona trafic wako busy kukamata daladala na vyombo vya usafiri vya watu wa hali ya chini. Mamla husika tafadhali mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Haiwezekani hawa big fish...
  4. DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
  5. Madereva wa Daladala huku Daslam mna shida gani? Kwanini mna matusi sana barabarani?

    Hii hali imekuwa ikijitokeza mara kadhaa, kuanzia dereva hadi kondakta wamekua na utamaduni mbovu sana kwa kuonyesha namna walivyokosa maadili kwa kutumia lugha za matusi na maneno makali kwenye vyombo vyao vya usafiri bila kujali watu walio wapakia na wanajua fika kuwa watu wanaowapakia ni...
  6. Napendekeza, kwa ajili ya usalama barabarani mazoezi ya kukimbia mbio za marathoni yafanyike kwa njia ya mtandao

    Badala ya kukimbia barabarani ,washiri kwa kujiunga kwa kutumia linki ya mtandao huku wakifanya mazoezi haya ya kukimbia marathoni katika maeneo maalumu na mahususi kwa ajili ya michezo na mazoezi kama vile viwanja vya michezo, na wengine wanaweza kushiriki wakiwa hata nyumbani kama wana...
  7. Abiria amchongea dereva kwa polisi, basi zima lakamatwa kwa kuzidisha abiria

    Jeshi la Polisi kupitia Makao Makuu ya Kikosi cha Usalama barabarani Tanzania limewaonya Madereva na Makondakta wa vyombo vya moto mikoa yote nchini kuacha kuzidisha abiria wanapokuwa safarini na kuzingatia kanuni za Mamlaka ya Udhibiti usafiri Ardhini (LATRA) kwani jeshi halitosita kuchukua...
  8. Madereva wa Mabasi wako Juu ya sheria za Barabarani?

    Wakuu katika watu ambao wapo reckless kabisa kwenye swala la driving ni madereva wa Mabus Mabus yameshapoteza ndugu zetu wengi sana na Wengine Kuwapa ulemavu wa kudumu Ajabu ni Kuwa mamlaka hazina habari kabisa na uvunjifu wa sheria unaofanywa na mabus, Wao kila muda ni kuwahi tu wanaendesha...
  9. Kamati ya Usalama Barabarani Mbeya yaendelea na utekelezaji wa maelekezo ya Mkuu wa Mkoa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga ambaye pia ni Mlezi wa Kamati ya usalama barabarani Mkoani humo Juni 12, 2025 aliwaongoza wajumbe wa kamati hiyo kufanya ukaguzi wa maendeleo ya utekelezaji wa maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Dkt...
  10. Picha: Chombo cha usafiri kutembea bila taa usiku, je ni salama?

    Picha inajieleza, chombo hakina taa kinatembea usiku kwa hisani ya aliyetangulia mbele na kimenyofolewa namba za usajili ili kisitambuliwe. Je usalama barabarani unabagua?
  11. Kamati ya usalama barabarani Arusha yakabidhi vifaa vya tehama polisi Arusha

    Katibu Mtendaji wa Kamati hiyo SSP. Zauda Mohamed (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari kutoka kikosini wakipokea vifaa vya TEHAMA kwa Mjumbe wa Kamati hiyo Bi. Veronica Ignatus mapema wiki hii jijini Arusha. Na Mwandishi Wetu. Kamati ya Usalama barabarani Mkoa wa...
  12. Askari Mliopo Kituo cha Oysterbay Usalama Barabarani mnajiona mmeyapatia sana Maisha!

    Hii dunia ya Duara. Tutakutana tu. Yaani ata kuelezea nashindwa, ila mmenikera sana. Kila anaeingia ofisini kwenu anatoka analalamika. Nikajua labda wao ndio jau. Kuingia, mnakaripia tu kila mtu. Vitoto vidogo mnakaripia wakubwa zenu kisa mmevaa izo sare za khaki. Nilishindwa kusoma jina au...
  13. P

    KERO Bajaji jijini Mwanza wanapaki hovyo sehemu ambazo si salama na usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara

    Ukiwa KENYATA ROAD (Mataa/Makoroboi) hadi kufika nata bajaji zimekua nyingi sana wa mbaya zaidi wanavunja sana sheria. Wanapaki wanavyojisikia, wanageuza katikati ya barabara kuna wakati unaweza kuta zinatembea Bajaj mbili lane moja wamejaa wao mmoja kushoto mwingine kulia na wanatembea mwendo...
  14. Dar: Askari wa Usalama Barabarani kagongwa na kupoteza maisha

    Habari Mbaya sana. Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani. Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje. Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara. Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe. Apumzike kwa amani.
  15. Uvunjaji wa sheria za usalama barabarani unaofanywa na madereva bodaboda

    picha kwa hisani ya Masoud Kipanya,toka mtandaoni! 👉🏾Kwani toka lini bodaboda hasa katika jiji la Dar Es Salaam ,mkapata exceptions kwenye mataa na junction mbalimbali hasa taa za barabarani zinapowaasa msimame??,Kwanini kwenu kufuata taa na alama za barabarani imekuwa nongwa?? Mnahatarisha...
  16. Sheria na Kanuni za Usalama Barabarani Tanzania zinasema nini kuhusu Self Driving cars?

    Kwa kasi ya ukuaji wa teknolojia kwenye tasnia ya magari, self driving cars sio muda itakua kitu cha kawaida. Kwa nchi za wenzetu, wameshajipanga kwa ilo na kua na sheria na miongozo mbalimbali ya self driving cars. Wana sheria zitakazo solve migogoro endapo itatokea ajali, kutakua na...
  17. S

    DOKEZO Kwanini Polisi Tanzania kila gari binafsi likipata ajali wanakimbilia kusema uzembe wa dereva ila za serikali hatusikii hilo hata siku moja!

    Kwangu binafsi naona ni mwendelezo wa unafiki wa Polisi Tanzania. Umesikia hata siku moja pale inapotokea ajali ya gari za serikali, hasa hizi Landcruiser ST.. wakisema ajali imesababishwa na uzembe wa dereva? Na kila mtu anajua madereva wa hizi ST.. wanaendesha gari kwa fujo bila kufuata sheria...
  18. Askari wa usalama barabarani msiache kuwapiga vibao bodaboda na Bajaj. Hawa vijana wana vichwa vigumu

    Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na msingi. Dawa ni vibao tu kwa hili kundi la vijana wa bodaboda na Bajaj. Makofi sometimes huweka akili...
  19. Madereva wa masafa marefu ni wasabishi wakubwa wa ajali za barabarani, wakaziwe kufata sheria

    Ndugu zangu Watanzania hususan abiria mnao abiri hayo mabasi, jitahidini sana kuwakemea madereva wajinga kama huyo hapo kwenye video. Eneo la makazi kama hilo ni wazi mwendo kasi ni chini ya 50. Lakini pamoja alama inayo ruhusu watembea kwa miguu kuvuka bado basi linapita likiwa mwendo kasi...
  20. Nimepata Tashtwiti Kuandika Juu Ya Usalama Barabarani Na Jeshi Letu La Polisi

    Wanabodi Habarini... Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na Kuomba Kujirekebisha, Tukaongea Kikubwa Yakaisha. Swali Ambalo Nilijiuliza Na Hata Yeye Nilimuuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…