usajili wa simba sports club

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Simba haina beki wa maana hadi sasa hivi, muda bado upo viongozi wangu

    Tumepata beki msauzi lkn hatuna uhakika kama atazima kweli isije ikawa kam yule beki mwili jumba kutoka Sudan akawa anachekesha tu. Mabeki Chamou na Hamza tulikuwa nao msimu uliopita, wana mapungufu mengi mnoooo. Hamza hana mbio halaf wakat timu inashambuliwa yeye anatembea Hamza akiona...
  2. demigod

    Hivi Simba mlishindwa nini Kumfuata Diadora moja kwa moja? Hadi mumtumie dalali JEYI-RUTY?

    Beberu la kihaya ni mjanja sana. Kaomba tenda ya bilion 5.6 kwa mwaka, Yeye kaiuza tenda kwa third party ambaye ni DIADORA (kampuni ya vifaa vya michezo kutoka Italy) kwa bilion 7.9 kwa mwaka. Wakati huo huo ako na kamisheni yake kwsnye kil jezi inayouzwa.(Kamisheni approxmatly USD 2 per...
  3. C

    Simba ni sikio la kufa,ujinga ule ule wa miaka yote kuhusiana na usajili naona ndio unaendelea

    Hakika hii timu sasa itakuwa kama Namungo. Huwezi kutengeneza kamati ya usajili ya kipuuzi kabisa na mtu wa hovyo mali ya utopolo ngungu boy akiwemo. Kamati hii huenda ndiyo inayokwamisha upatikanaji wa wachezaji bora na wanaishia kwa wapinzani. Huwezi kusajili kwa vikao kama kamati za kugawa...
  4. P

    Huo muunganiko tusubiri hadi lini?

    Tayari mapicha picha yameanza huko mitaa ya ubwelani. Muunganiko hauonekani huku baadhi ya mambwela wake waki a mini ubwela utachanganyia mwendo katikati ya mashindano ya ligi. Wakati wakiwa wana tafuta muunganiko ambao haujulikani utapatikana lini watajikuta pacha mwenzake kamuacha mbali...
  5. L

    Njia pekee ya kuwalinda wachezaji wenu ni kusoma albadiri huko Misri vinginevyo wakirudi bongo hamtaamini

    Ushirikina ndio njia pekee inayotumiwa na Utopolo kufifisha nyota za wachezaj wa wekundu, huko kwa mwarabu Misri ndio mahali pake kusoma albadiri na dua nzito ya kafara. Wachezaji wenu walindwe dhidi ya ushirikina na ule uwanja wa Bunju umefukiwa vitu vya ajabu, mkiacha mmekwisha.
  6. Labani og

    Alex Ngereza: Simba SC wanafanya mambo kienyeji

    Simba inafanya mambo kienyeji, Ushawahi ona wapi timu ina sajili wachezaji zaidi ya wa 5 pasipokuwa na Kocha mkuu nina mashaka na perfomance yao msimu ujao" Alex Ngereza Mchambuzi wa soka Tv3.
  7. L

    Kama mabeki wenyewe ni wale wale akina Kapombe, Tshabalala na Che Malone basi kiama chetu kwa Yanga kiko karibu msimu ujao

    Mnatuambia Simba mpya inakuja, mnawaimbisha watu kuwa safari ijayo mnyama atakuwa hashikiki, ukiangalia yanayoendelea kwenye App ni Mzamiru, Kapombe, Israel, bado Tshabalala, Kaze, Duchu, kudadeki.Hakuna jipya hapo. Msimu ujao ni maumivu makali zaidi ya haya ya msimu huu.Rest in Peace mzee wa...
  8. Matteo Vargas

    Simba ikiendelea na viongozi wasio na maono itawachukua miaka 7 kurudi kwenye makali yao

    Kabla ya kukurupuka kusajili wachezi, Simba wahakikishe wana safu bora ya uongozi na technical bench lenye ubora wa hali juu. Baada ya hapo ndipo hilo benchi bora la ufundi lifanye kazi ya kusajili wachezaji wenye ubora na wala sio sajili za kufurahisha mashabiki. Simba wasipozingatia hili...
  9. Mstahiki Mea

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji? Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k Usajili ujao...
  10. Mr Alpha

    Usajili wa Freddy Micheal Koublan, Simba SC tumepigwa!

    Ukweli usemwe tu katika sajili zilizofanyika simba msimu huu Fred Koublan ni usajili mbovu zaidi, ukimuangalia uwezo wake uwanjani ukitoa uwezo wake wa kucheza rafu za ovyo na kupiga maboko anabaki mtupu. Kipindi cha usajili nilionya simba tabia ya kwenda kuchukua wachezaji kwenye ligi nyepesi...
Back
Top Bottom