usafi kwa wanawake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zurie

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke anakuwa msafi "pure" hadi pale anapofanya mapenzi na mwanaume; huu uchafu unakuwa umetokea wapi au kwa nani?

    It is very common kwa wanaume kuona kuwa mwanamke "ameharibika" kwa kuwa amefanya ngono na mwanaume. Tena kuna wale ambao anamnyanyapaa/kumsemea mbovu mwanamke aliyelala naye yeye mwenyewe. Yaani baada ya kumla anamuona trash flani. Sasa, kama mwanamke akiwa bikra ana thamani sana, akishafanya...
  2. Pagani Zonda

    JamiiForums Tanzania HUwa mnafanya usafi gani baada ya kufanya mapenzi?

    Habarini za mchana wapwa? Kama mada inavojieleza. Ukiwa faragha na mwenzako baada ya kufanya mambo yenu huwa mnafanya nini ili kuwa wasafi? Mfano kwa mwanamke, baada ya bao la kwanza huwa anajifuta au ananawa na maji? Hivyo hivyo baada ya bao la pili n.k, utaendelea kujifuta/kunawa na maji...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusuka rasta ama vinginevyo ni kwa muda gani inafaa kuziosha au kusuka tena kuepusha usumbufu na kero kwa wengine?

    Changamoto ya harufu nzito ya uvundo wa jasho kwenye nywele huwa kero na usumbufu kwa wasio husika. Kwa wazoefu, ni katika muda gani yafaa nywele kuoshwa, kusukwa tena bila kufumua na kuficha kwa wigi ambalo huzidisha harufu nzito zaidi?🐒
Back
Top Bottom