urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

    Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika

    Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea Urusi. Amesema: "Siwezi kusema wazi moja kwa moja kuhusu ushiriki wa Urusi hadi uchunguzi ukamilike.”...
  3. JamiiForums Tanzania Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

    Russia imerusha kombora na kutua Poland Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported. Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki has called an emergency meeting of...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana Urusi kukubali maongezi ya amani, yaani nikikumbuka jeuri na mikwara ile

    Leo Urusi wanasema wako tayari kuzungumza na kukubaliana kuacha vita, hawa hawa supapawa waliompa Zelensky masaa 24 kuachia ngazi. Zelensky siku zote amekua akijaribu kuwabembeleza waache vita waingie kwenye mazungumzo, leo wanaita vyombo vya habari na kubadilisha kauli.....poleni sana kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna mliotuaminisha kwa Urusi kukimbia Kherson ni mtego, haya Rais Zelensky afanya ziara Kherson

    Haya tuone kama rais atanasa kwenye mtego wenu, mlisema Urusi ametoroka ili kuwavuta Ukraina waingie kichwa kichwa kwenye mtego, fanyeni sasa. Nakumbuka hata wakati Warusi wanaikimbia Kyev mlisema ni mtego fulani hivi...hii mitego lini itanasa, maana kila Mrusi akitoroka sehemu mnasema mtego...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zelensky anafurahia majeshi yake kuingia Kherson: Ukweli ni kwamba hawajaukomboa lakini Urusi imeamua kuuachia

    Rais Zelensky wa UKraine na mataifa ya magharibi kwa ujumla wanashangilia sana majeshi ya ukraine kuingia kwenye mji wa kherson wakidai wameukomboa. Lakini ukweli ni kwamba hawajaukomboa ila majeshi ya urusi yalitangaza kitambo kuwa yatauachia mji huo. Kwanza Ukraine wal;ikuwa hawaamini kama...
  7. JamiiForums Tanzania VIDEO: Familia za askari wa Urusi waamua kwenda Ukraine kuwafata wapendwa wao

    Wakati Jeshi la Russia likiendelea kurudi nyuma chaa ajabu bado askarI wa Ukraine wanaendelea kuwashambulia bila huruma askari wa Russia wanaorudi nyuma. Russian sources are now also reporting a large amount of Russian forces are still stuck on one side of the Dnipro. Wakati huo huo ndugu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Urusi imepoteza wanajeshi 100,000. Hiyo ni sawa na ukijumuisha JWTZ, KDF, UPDF, RDF na uche

    Mpaka sasa Urusi imepoteza idadi ya wanajeshi sawia na active personel wote wa EAC na uchee.....na wameambulia asilimia 15% ya Ukraine ambayo na yenyewe inawatokea puani wanaikimbia... Russia's announced retreat from Kherson, a regional capital in southern Ukraine that it seized early in the...
  9. JamiiForums Tanzania Urusi yaandika barua kulalamikia Latvia, Mwanachama wa NATO, hii ndio nguvu ya NATO

    Latvia ni kataifa kadogo sana jirani ya Urusi, ila mwanachama wa NATO, sasa Urusi imezoea kuparamia vitaifa majirani ila kwa wanachama wa NATO hukaa mbali au kuandika barua za kulalamika, kama ambavyo imefanya kwa Latvia, imelalamika lalamika hatua za Latvia kubomoa minara yoyote ya Urusi...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani kusimika TPS-80, nayo Uhispania kusimika TPS-43 pale Romani, maskini Urusi analo

    Madude yanaendelea kumjongea Putin, alilianzisha wenzake wanamalizia, wamehakikisha amedhoofishwa na kataifa kadogo Ukraine, sasa hivi kiuchumi anaendelea kuangukia pua, halafu Warusi wenyewe wamemchoka na mavita yake yanayoendelea kuua watoto wao na kurudisha nchi nyuma, anafukuzia vijana...
  11. JamiiForums Tanzania Majeshi ya Urusi yaukimbia mji wa kherson.

    Wizara ya ulinzi ya urusi imesema majeshi yake yanajiondoa katika mji huo ili kupunguza madhara kwa vikosi vyake na kuokoa maisha ya raia wake. urusi iliuchukua mji huo kutoka ukraine kupitia kura ya maoni mwezi uliopita ya kujitenga na ukraine. ukiani haiitambui kura hiyo na imesema itatumia...
  12. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini wajitetea kwamba hawajawahi kutoa msaada kwa Urusi

    Jameni maskini Urusi, waliokua wanampa msaada wote wanajitetea na kumkimbia, juzi Iran alijitetea sana jinsi hajamsaidia, naona Korea Kaskazini naye kachomoa..... North Korea said on Tuesday it has never had arms dealings with Russia and has no plans to do so, its state media reported, after...
  13. JamiiForums Tanzania Kaka mkubwa USA awa mpatanishi wa majirani wa Urusi waliokuwa wananyukana

    Kwa sasa Urusi hana ushawishi wowote ukanda huo, hiyo ni baada ya kuvurugwa na kataifa kadogo Ukraine.... The US-organized peace talks between Armenia and Azerbaijan in Washington come only a week after a summit hosted by Russian President Vladimir Putin in Moscow. The foreign ministers of...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inaomba "po" kiaina: Inaiambia Ukraine ikubali mazungumzo ya amani na Urusi!!

    Marekani na washirika wake wa NATO waliiandaa Ukraine kupambana na Urusi toka 2014! Wamewekeza sana kupita kiasi walichotazamia lakini hadi kufikia muda huu hawaoni dalili za kuiangiusha Urusi bali kuna dalili ya Ukraine kuanguka na tunapozunguza Crimea iliota mbawa hiyo 2014 na juzijuzi majimbo...
  15. JamiiForums Tanzania Japanese imekubali kushiriki katika mradi wa nishati wa Urusi

    Tokyo inasema hatua hiyo itasaidia kudumisha upatikanaji wa nishati nchini Japan. Japan inashiriki katika mradi wa nishati wa Urusi Kampuni ya nishati ya Japan SODECO imeamua kubakiza hisa zake 30% katika shirika jipya litakalosimamia mradi wa mafuta na gesi wa Sakhalin-1 katika Mashariki ya...
  16. JamiiForums Tanzania Uturuki na Urusi wakubaliana kupeleka nafaka bila malipo kwa nchi Masikini - Erdogan

    Wapokeaji watakuwa nchi maskini kama vile Djibouti, Somalia, na Sudan, Ankara inasema Marais wa Urusi na Türkiye walikubaliana katika simu ya hivi majuzi kuhusu kutuma nafaka kwa mataifa maskini zaidi duniani bila malipo, kiongozi wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amefichua. Alisema hayo...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi: Mwana kayataka, Finland na Sweden wamekidhi vigezo vya NATO

    Urusi alijaribu kuparamia Ukraine kisa hakutaka wajiunge NATO, sasa ndio kama kafungulia lango kuu, maana Finland na Sweden sasa wameruhusiwa kujiunga NATO, wamekidhi vigezo, ifahamike Finland ina mpaka na Urusi wenye kilomita 1,271.8 km, hiyo ni zaidi ya umbali wa Dar hadi Kigoma au Dar hadi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kutaka kuficha aibu: Marekani ilishapeleka ulinzi wa anga Ukraine lakini Ukraine inapigwa kila leo na Urusi

    Baada ya Ukraine kuchakazwa na makombora na drones za urusi, Marekani inajinasibu kuwa itapeleka huko ulinzi wa anga /air defenses wa kiwango cha juu ili kulinda anga la ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi. ======= US air defense systems to arrive in Ukraine soon – Pentagon Amid an onslaught...
  19. JamiiForums Tanzania Ukraine kama Rwanda na Urusi kama DR Congo

    Nchi za Magharibi na Marekani ziko nyuma ya migogoro ya Ukraine na DR Congo. Nchi hizi zinaisaidia Ukraine kuishambulia Urusi na Rwanda kuishambulia DR Congo kwa maslahi yao. Migogoro duniani haitakwisha hadi hapo nchi zinazoendelea zitakapopata ujasiri wa kususia misaada na mikopo kutoka nchi...
  20. JamiiForums Tanzania IRIS-T limedungua cruise missle 44 kati ya 50 zilizorushwa na Urusi kwenye maeneo ya Raia na miundo mbinu

    Hilo dude hilo. missles 46 kati ya 50 zimechakazwa. zilikua zinalenga miundo mbinu na makazi ya raia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…