urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Wazambia wahitaji maelezo kuhusu Mwanafunzi wao aliyefungwa Urusi kufariki vitani

    Government of Zambia says a Zambian student, Lemekhani Nathan Nyirenda, has “died at the battlefront in Ukraine”. Zambia has asked Russia to provide info on how “Zambian citizen serving a prison sentence in Moscow, could have been recruited to fight in Ukraine.” A 23-year-old Zambian student...
  2. Belarus kujaribu kuokoa jahazi la Urusi, yatoa msaada

    Wafuatiliaji wa shughuli za kijeshi wamesema kwamba rais wa Belarus Alexander Lukashenko anatoa msaada wa kijeshi na silaha kwa Russia katika vita vinavyoendelea Ukraine. Belarus imeruhusu karibu wanajeshi wa Russia waliosajiliwa hivi karibuni kupokea mafunzo nchini humo, huku ikitoa karibu...
  3. Jeshi la Urusi wajiandaa kuachilia 'kiwanda cha nyuklia'

    Samaki katema ndoano. Twende kazi Mkuu wa shirika la nyuklia nchini Ukraine, Petro Kotin amesema kwamba kuna ishara kwamba wanajeshi wa Russia wanajitayarisha kuondoka kutoka kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia ambacho wamekuwa wakishikilia tangu mwezi March baada ya kuvamia nchini hiyo...
  4. Video: Wanajeshi wa Urusi wamzomea jenerali wao

    Wana hasira sana kwa ambavyo wanaendelea kuuawa na mpaka sasa haieleweki nini mipango ya nchi yao na nini haswa wanachofia...
  5. M

    Urusi yapiga marufuku matangazo na propaganda za kueneza ushoga (LGBTQ) nchini mwake!

    Urusi imepitisha sheria inayopiga marufuku matangazo na propaganda za aina yote yahusuyo ushoga na vitendo vinavyofanana na hivyo almaarufu kama LGBTQ. Sijui kama nchi zetu hizi za kiafrika zitaweza kuwa na ubavu wa kuiga mfano mzuri wa urusi, maana mataifa ya magharibi hutishia vikwazo na...
  6. Bomba la gesi lalipuka Urusi, zaidi ya watu milioni moja kukosa gesi, hivi vita vinakwenda pabaya

    Hili tukio linadhaniwa kama ulipizaji wa kisasi baada ya Urusi kushukiwa kwenye ulipuaji wa bomba la gesi la "Nord Stream". Zaidi ya Warusi milioni moja kukosa gesi, huku wakielekea kwenye msimu wa baridi, kwa kifupi hivi vita havifai, Putin anapaswa afahamu anaowashambulia na wao pia wako...
  7. Tetesi: Urusi na Iran Sasa Rasmi Kuungana kwa Ajili ya Kupata Ndege Bila Rubani Kamikaze

    Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington Post na kuwekwa bayana na dw radio, zinasema, wawili hao wanajongeleana ili kuweka mikakati ya...
  8. Aidha tukio la "black swan" ndani ya Urusi litokee, la sivyo ngoma ni mpaka Crimea

    Ukraine wamedhamiria, wapo radhi kuendelea kulipa gharama, wanasukuma mapigo kwa kwenda mbele, kunao wanakufa ila ndio hivyo, ardhi lazima ikombolewe, wanasema mpaka sasa hamna gia itakayorudisha juhudi nyuma, kurudi nyuma ni kutoheshimu damu za ndugu zao waliokufa.... Kwamba kwa sasa namna ya...
  9. Video: Hadi huruma, hivi Urusi mbona anatesa hawa vijana wake

    Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
  10. Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

    Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza..... Kwa sasa hivi...
  11. M

    Air Defenses za Marekani zimeshindwa kulilinda anga la Ukraine dhidi ya makombora ya Urusi!!

    Marekani ilijinasibu sana kuwa imeshapeleka air defense system za hali ya juu lakini bado jiji la Kiev linapata kipigo cha mbwa mwizi kila urusi ikitaka. Ukraine has reportedly received two batteries of NASAMS short- to medium-range ground-based air defense systems from the US. [Twitter]...
  12. Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

    Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali...
  13. Rais Joe Biden: Inawezekana ni kweli Urusi haijaishambulia Poland, uchunguzi unafanyika

    Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea Urusi. Amesema: "Siwezi kusema wazi moja kwa moja kuhusu ushiriki wa Urusi hadi uchunguzi ukamilike.”...
  14. Makombora ya Urusi yaua wawili Poland

    Russia imerusha kombora na kutua Poland Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine, domestic media reported. Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki has called an emergency meeting of...
  15. Nimeshangaa sana Urusi kukubali maongezi ya amani, yaani nikikumbuka jeuri na mikwara ile

    Leo Urusi wanasema wako tayari kuzungumza na kukubaliana kuacha vita, hawa hawa supapawa waliompa Zelensky masaa 24 kuachia ngazi. Zelensky siku zote amekua akijaribu kuwabembeleza waache vita waingie kwenye mazungumzo, leo wanaita vyombo vya habari na kubadilisha kauli.....poleni sana kwa...
  16. Kuna mliotuaminisha kwa Urusi kukimbia Kherson ni mtego, haya Rais Zelensky afanya ziara Kherson

    Haya tuone kama rais atanasa kwenye mtego wenu, mlisema Urusi ametoroka ili kuwavuta Ukraina waingie kichwa kichwa kwenye mtego, fanyeni sasa. Nakumbuka hata wakati Warusi wanaikimbia Kyev mlisema ni mtego fulani hivi...hii mitego lini itanasa, maana kila Mrusi akitoroka sehemu mnasema mtego...
  17. M

    Zelensky anafurahia majeshi yake kuingia Kherson: Ukweli ni kwamba hawajaukomboa lakini Urusi imeamua kuuachia

    Rais Zelensky wa UKraine na mataifa ya magharibi kwa ujumla wanashangilia sana majeshi ya ukraine kuingia kwenye mji wa kherson wakidai wameukomboa. Lakini ukweli ni kwamba hawajaukomboa ila majeshi ya urusi yalitangaza kitambo kuwa yatauachia mji huo. Kwanza Ukraine wal;ikuwa hawaamini kama...
  18. VIDEO: Familia za askari wa Urusi waamua kwenda Ukraine kuwafata wapendwa wao

    Wakati Jeshi la Russia likiendelea kurudi nyuma chaa ajabu bado askarI wa Ukraine wanaendelea kuwashambulia bila huruma askari wa Russia wanaorudi nyuma. Russian sources are now also reporting a large amount of Russian forces are still stuck on one side of the Dnipro. Wakati huo huo ndugu wa...
  19. Urusi imepoteza wanajeshi 100,000. Hiyo ni sawa na ukijumuisha JWTZ, KDF, UPDF, RDF na uche

    Mpaka sasa Urusi imepoteza idadi ya wanajeshi sawia na active personel wote wa EAC na uchee.....na wameambulia asilimia 15% ya Ukraine ambayo na yenyewe inawatokea puani wanaikimbia... Russia's announced retreat from Kherson, a regional capital in southern Ukraine that it seized early in the...
  20. Urusi yaandika barua kulalamikia Latvia, Mwanachama wa NATO, hii ndio nguvu ya NATO

    Latvia ni kataifa kadogo sana jirani ya Urusi, ila mwanachama wa NATO, sasa Urusi imezoea kuparamia vitaifa majirani ila kwa wanachama wa NATO hukaa mbali au kuandika barua za kulalamika, kama ambavyo imefanya kwa Latvia, imelalamika lalamika hatua za Latvia kubomoa minara yoyote ya Urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…