urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Urusi ni super power ya mdomoni, jana nilitaka kusafiri nikakumbana na haya ndani ya ndege za Urusi

    Naongea nachokiishi siyo nachosimuliwa, kabla mrusi wa buza hujaanza kunibishia shiba sana kwanza vitumbua kwa mama willy hapo Tandale, nakusisitiza kabisa ichaji techno ya shangazi yako unayotumia kwa kujiiba ku comment JF, nasisitiza hakikisha una pitia notice ulizokalili kuhusu uchumi kwa...
  2. Marekani yakiri mfumo wa Patriot wadunguliwa na makombora ya Urusi

    Juzi kati hapa nakumbuka genge la Ukraine lilisema limedungua makombora yote ya Urusi na hayajaleta madhara yeyote. Baadae waziri wa ulinzi wa Urusi akasema sio tu hayajadunguliwa lakini pia waliuchakaza kwa hypersonic missiles mfumo wa patriot uliopo Ukraine. Je, ni lini Genge la Ukraine...
  3. Makombora ya Storm Shadow kutoka Uingereza sasa yanatumika kushambulia Urusi

    Tuliwaambia Ukraine bado hawajapewa silaha za maana, na mpaka sasa kwa kidogo walichopewa wamefaulu kuilemaza Urusi, yaani Magharibi wanaachia aina moja moja ya silaha. Sasa hapa kuna hii Storm shadow imeanza kuchakaza. ======== Storm Shadow missiles from UK 'now being used to strike Russian...
  4. M

    Wamejitahidi kuficha mwisho wamekubali kuwa Patriot Air Defense System imeshachakazwa na makombora hatari ya Urusi

    Wiki iliyopita Ukraine walidai kuwa wamefanikiwa kuangamiza kombora la urusi (hypersonic missile), lakini baadaye ikaonekana kuwa siyo. Na leo mji mkuu wa ukraine ulishambuliwa vibaya na ukraine ikadai imetungua makombora 6 (hypersonic missile) ya urusi kwa kutumia Patriot air defense ya...
  5. Urusi yasema makombora yake yote yalipiga Kyiv

    Kumekuwepo na vuta nikuvute juu ya mashambulizi makubwa yaliyofanywe na Urusi hapo jana kwenye mji mkuu wa kyiv. Wakati Ukraine ikisema imetungua makombora yote 18 yaliyorushwa jijini hapo,6 kati yao yakiwa ni Kinzha Hypersoni na kwamba ni watu 3 tu waliojeruhiwa na gari moja kuungua kwa...
  6. Urusi yashambulia kwa aina tofauti ya mizinga kwa mkupuo, yote yapigwa chini

    Jameni Afrika lini tutakua na mifumo kama patriot air defence, yaani Urusi imeshambulia Kyiv kwa aina tofauti ya mizinga zikiwemo drones, lakini zote zimepigwa chini....ama kwa kweli haya mambo bana...dah! Sayansi aisei Mamayooo!! Shambulio la leo lingeelekezwa kwenye taifa lolote hapa Afrika...
  7. Ndege nne za Urusi zapigwa chini hata kabla kuingia Ukraine, yaani zikiwa anga ya Urusi

    Mrusi sasa anatia huruma, ndege zinapigwa zikiwa kwenye anga ya Urusi kabla kuingia Ukraine.... A Russian aerial ‘raiding party’ consisting of a Su-34 fighter-bomber, Su-35 fighter, and two Mi-8 helicopters were reported shot down before entering Ukraine territory. Russian news outlet...
  8. T

    Nje ya silaha za nyuklia, Urusi haIna kingine cha kuitishia Marekani

    Baada ya mgogoro wa kivita wa Ukraine kuanza, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Bwana Sergey Lavrov alitahadharisha kuhusu matumizi ya Nyuklia na kusema Urusi haitasita kutumia silaha za nyuklia pale itakapobidi. Sasa naanza kuelewa kwamba ile ilikua ni defense mechanism ili kuficha udhaifu wa...
  9. Kuna watu wanadhani Urusi ni Ushelisheli

    Hivi nchi ya kwanza kuizunguka dunia anga za juu utasema sio super power? Nchi ya kwanza kudetonet bomu kubwa kabisa la nyuklia duniani ambalo sauti na kishindo chake hakijawahi kurekodiwa popote pale ulimwenguni. Nchi ambayo kwa wingi wa rasilimali zake hakuna taifa lolote linaikaribia...
  10. Kwanini nchi za Magharibi zinaisaidia Ukraine silaha bila kificho lakini huzishutumu nchi zingine zinazoisaidia Urusi?

    Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote. Hivi dunia haiwezi kuwepo bila...
  11. Marekani yaishutumu Afrika Kusini kuipa Urusi silaha kwa siri

    Balozi wa Marekani Nchini Afrika Kusini, Reuben Brigety ametoa shutuma hizo kwa kudai silaha hizo zilipakiwa kwenye meli ya mizigo ya Urusi iliyotia nanga katika Kambi ya Jeshi la Majini Jijini Cape Town, Desemba 2022. Amesema ana uhakika na anachokisema na kudai hilo jambo halikubaliki kwa...
  12. Afrika Kusini yadaiwa kuisaidia Silaha Urusi kwenye vita ya Ukraine

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine. Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana. Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa...
  13. S

    Ukraine yasikitika kuwapoteza kwa mpigo wataalamu wake sita wabobezi wa vilipuzi/mabomu

    Kimbunga cha dhahama cha makombora ya Russia kilichopita Kherson kimewakumba na kuwaangamiza wataalamu sita wa jeshi la Ukraine ambao walikuwa ni magwiji na wabobezi wa kutegemewa katika fani ya vilipuzi (mabomu). Jeshi la Ukraine linasikitika kwa kuondokewa na wabobezi hao kwani pengo lao...
  14. Hofu yatanda mji mkuu wa Moscow, Urusi huku rais akisuburiwa kuhutubia

    Tangu hivi majuzi ambapo Ukraine walionyesha uwezo wa kupitisha pitisha drones kwenye ikulu ya Urusi, imedhihirika hamna popote salama nchini Urusi ambapo Ukraine hawawezi kufikisha mapigo, na Warusi wengi hawajui nini kimepangwa kutokea siku rais atahutubia taifa. Urusi imekataza drones za...
  15. Video: Mjumbe wa Urusi achapwa ngumi na wa Ukraine kwenye kikao Uturuki

    Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
  16. Ukraine inawategemea Ulaya na Marekani. Je, ni kosa?

    Naona kama watu wanachukia kwa Ukraine kuwategemea Wamarekani na Ulaya kwenye vita yake dhidi ya Urusi. Kwa ni kosa kuomba msaada kwa mtu unayemuamini!!? Hata hivyo maslahi ya Ukraine na Marekani dhidi ya Urusi yanafanana, tatizo liko wapi wakisaidiana!!??
  17. Urusi: Ukraine imejaribu kumuua Rais Putin kwa shambulizi la drone Ikulu ya Kremlin

    Kumbe kuna mtu kapigwa jana ndani, lazima aone machungu ya vita Ukraine inajaribu lipa kisasi kwa Raia 23 waliouawa juzi. Sasa Putin ni aamue atumie Nukes au aondoke Ukraine Uzuri hizo drone zimetengenezwa na Ukraine wenyewe. Wacha tusubiri majibu yake ndani ya hizi siku 3. --- Russia...
  18. Kuna wadadisi wanawaza kuna uwezekano Putin ni pandikizi la Marekani, ameiharibu Urusi

    Urusi ndio taifa pekee ambalo limekua likipelekeshana na Marekani kichwa kwa kichwa kwenye masuala yote yakiwemo ya kijeshi tangu tangu, Marekani ilijaribu mbinu nyingi sana za kuizamisha Urusi ila ikawa ngumu, hawakua wanaingilika. Lakini chini ya uongozi wa Putin, Urusi imeshushwa mpaka basi...
  19. M

    BRYANSK: Makombora ya Ukraine yaua watu wawili katika kijiji kimoja ndani ya Urusi

    Watu wawili wameuawa ikiwa ni matokeo ya mashambulizi kutoka Ukraine yaliyokilenga kijiji kimoja ndani ya mkoa wa Bryansk ndani ya Urusi. Hayo yamesemwa na Gavana wa mkoa huo kama alivyonukuliwa na chombo cha habari cha Urusi TASS. Mashambulizi hayo yalikipiga kijiji cha SUZEMKA kilichopo...
  20. Vita vya Urusi na utawala wa dola

    Leo naomba niwe newtro kidogo. Sorry pro-west wenzangu. Miaka ya 1900+ kama sjakosea, USA alisaidia kuunusuru uchumi wa russia kwa kuhofia russia angeuza tech ya nuke. ili kukabiliana na makali ya madeni. Ndo mana russia anapenda sana kutumia mikwara ya nukes kwa sababu nyuklia ndio udhaif wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…