Itafika wakati wataanza kuuwana wenyewe kwa wenyewe na kutoana roho, kwasababu wamechagua njia ovu kila mmoja atataka yeye madaraka. kwa njia zao za kishetani.
Huku ndipo tunapoelekea hawatashikamana siku zote kama mnavyowaona hao wakuu wa majeshi na mafisadi wataanza kuwindana wenyewe katiba...
Hapa ndipo nimeona hawq jamaa hawajitambui na wanachowaza ni ugali na nama tu
Yaani wanasema tatizo ni vijana kutokuwa na ajira sekta rasmi au isiyo rasmi
Juzi kati nikaona mkuu wa mkoa Tabora anamnunulia kijana Viatu.
Waziri aliyepewa hii kazi anazungula vijiweni kupiga soga na vijana...
Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29 -MASSACRE DAY IN TANZANIA (MAUAJI YA HALAIKI) zikidai Haki hata wakiwa umautini.. ni kama vile tupo...
Mimi sio sana shabiki wa mambo ya siasa, lakini kwa yale yanayoendelea nchini imenipasa na mimi nitoe neno kidogo.
Matokeo ya utawala wa kidikteta ni mabaya sana. CCM ni Watanzania kama sisi, lakini kwanini waone ni sawa nchi kuingia kwenye machafuko makubwa kisa tu kupenda madaraka?
Ni vyema...
Nimekaa Nimetafakari namna gani mwanadamu anaweza akalewa madaraka mpaka kumpelekea kuwa teja au mraibu wa madaraka, Mtu yeyote mwenye uraibu wa kitu fulani basi huwa yupo tayari kufanya kitu chochote ili aweze kupata tiba ya uraibu, na mfano ni pale teja anapokosa madawa ya kulevya wakati...
Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi
Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi watapoteza imani
Lakini pia CHADEMA itapuuzwa na CCM pale itakapokuwa ikiwanyooshea kidole kwa madai...
Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni;
Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.
Mh. Mbowe katika miaka yote hakuna alichotimiza hata kimoja. Kama kiongozi wa taasisi unaposhindwa kutimiza...
Kuna mtu anaweza kudhani maandamano ya Kenya ni sheria ya fedha (Finance Bill) hapana!
Maandamano hayo yana sura ya ukabila wa wazi ambao Naibu Rais anaujenga kupitia watu wa mlima, kwa maana ya wakikuyu. Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa siku za karibuni amekuwa akiimarisha siasa za ukabila kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.