urais

Kanako Urai (浦井 佳奈子, Urai Kanako, born September 26, 1981) is a Japanese professional wrestler currently signed to WWE, where she performs on the Raw brand under the ring name Asuka (アスカ, ) where she is the current Raw Women's Champion in her first reign.
Previously known as Kana (華名), she started her professional wrestling career in the AtoZ promotion in June 2004, where she remained until retiring in March 2006. She returned to the ring a year and a half later, starting to work as a freelancer for promotions such as JWP Joshi Puroresu, NEO Japan Ladies Pro-Wrestling, Pro Wrestling Wave, Reina Joshi Puroresu, Smash and Wrestling New Classic (WNC). Her achievements include winning the JWP Openweight Championship, NEO Tag Team Championship, Reina World Women's Championship, Smash Diva Championship and Wave Tag Team Championship.
In August 2015, Urai signed a developmental deal with WWE, making her the first Japanese female wrestler signed with the company in over 20 years. After spending two years in WWE's developmental branch NXT, where she is a former NXT Women's Champion (with her reign of 510 days being the longest in that title's history) as well as the Female Competitor of the Year (2016, 2017) and Overall Competitor of the Year (2017) NXT Year-End Award winner, Asuka was moved to the promotion's main roster in September 2017. In addition, the company has billed her as having the "longest undefeated streak in WWE history" at 914 days. In January 2018, she was the inaugural winner of the women's Royal Rumble match. She is also a former SmackDown Women's Champion, Women's Tag Team Champion (with Kairi Sane) and the 2020 Women's Money in the Bank ladder match winner, making her the first to win both the women's Royal Rumble and Money in the Bank matches. Following her Raw Women's Championship win, Asuka became the third Women's Triple Crown Champion and the second Women's Grand Slam Champion.
In December 2015, Dave Meltzer of the Wrestling Observer Newsletter stated that Urai "may be the best worker in WWE, man or woman". In 2017, Asuka became the first Japanese wrestler to top Pro Wrestling Illustrated's (PWI) annual PWI Female 50 list. Her techniques include various kicks and submission holds, leading to a reputation for a stiff wrestling style. Urai has also worked as a freelance graphic designer and video game journalist and through her work with Microsoft she has been sponsored by the company, wearing an Xbox 360 logo on her gear.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Zambia 2026: Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili

    Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, ameshinda uchaguzi na kupata muhula wa pili wa miaka mitano, baada ya kupata asilimia 61.4 ya kura dhidi ya asilimia 38 alizopata mpinzani wake mkuu, Brian Mundubile. Tume ya Uchaguzi ya Zambia imemtangaza...
  2. JamiiForums Tanzania Leonard Thadeo alijua anaweza kujipachika Urais kama alivyofanya Samia. Kajiuzulu

    Yaani kuna Washenzi jamii ya mwakizimkazi. Baada ya kuona Samia Suluhu amejipachika Urais wa Tanzania na kutumia mtutu wa Bunduki kujiapisha. Na Wananchi wakaufyata, Wakajua kila taasisi Watafanya hivyo itakubalika Polisi waliagizwa wakamlinde Leonard Thadeo aapishwe. Wakafanya hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Hatukuwa tofauti sana na Singapore; kwanini Nyerere aliamua kujirundikia madaraka ya Urais ikawa kama ufalme?

    Wakati tunakabidhiwa uhuru 1961 hatukuwa na huu mfumo wa siasa na utawala kama tulionao sasa wa Rais kuhodhi madaraka makubwa kupitiliza. Tulikuwa na mfumo wa kibunge naweza kusema hivyo kama uliokuwepo Singapore ambao hupo mpaka sasa na hapa Waziri mkuu wa zamani wa Singapore Lee Hsien Loong...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  5. JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Kuna Rais atajiudhuru Urais hapa Afrika Mashariki.

    Si maneno yangu Bali ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu (CIVILIAN-COIN). NANI KUJIUDHURU Urais? Kuna nchi Fulani Afrika Mashariki, Rais atajiudhuru kwa ujinga wake wa kumuona Civilian-Coin hafai Kila eneo. Tega sikio na macho.
  6. JamiiForums Tanzania Bila kifo cha Magu, Bashiru alikuwa anaukwaa Urais kimzaha

    Niliiandika 2019 baada ya kukutana ma mtu mmoja pale CCM lumumba ni mtu mmoja credible ndani ya Chama, Alikuwa kaniambia kwamba ishaamuliwa kama Magu angeona hafai kuendelea 2025 kwa kukiuka Katiba basi chaguo lake ni BASHIRU, niliiweka kwenye TETESI Uzi huu nikafuatwa inbox na mkubwa mmoja...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2027: Mgombea Urais Ataweka Hadi Sh6.1 Bilioni Katika Kampeni

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeweka ukomo wa matumizi ya fedha kwa wagombea urais katika uchaguzi wa 2027 kuwa zaidi ya Sh6.1 bilioni. Kwa mujibu wa kanuni mpya zilizochapishwa kwenye Gazeti la Serikali, mgombea mmoja wa urais ataruhusiwa kutumia hadi Sh6,112,543,133 katika kipindi...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto: Hata Mkininyima Kura Malaika Wataniongezea, lazima nitashinda Urais

    Harafu unakutana wale wapumbavu huko mtaani wanajazwa upepo na Wapinzani Hadi wanapoteza maisha,wanakuwa vilema nk kisa vurugu za kuwapigania Wanasiasa Kwa ahadi kwamba Katiba Mpya itawapa maisha. Haya kiko wapi? Kinachoitwa Katiba Mpya ni scam ya kuwa fool wajinga na wapumbavu Kwa maslahi ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Zote Zinatoka Kwa Mungu Mwenyewe. Huwezi Kuwa RAIS Kama Haijapangwa Na Mungu. Urais Wa Rais Samia Umetoka Kwa Mungu Mwenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Amini Nawaambieni Ya Kuwa Huwezi Kuwa Rais wa Nchi Hii Kama Haikupangwa Na Mungu toka katika Ulimwengu wa Kiroho hata kabla ya kuzaliwa Kwako. Huwezi Kuwa Rais Kama Hujapewa Kibali na Mungu. Huwezi Kuinuka Na kuinukia Kwenye Urais kwa Mbinu zako na mipango yako Bila ama...
  10. JamiiForums Tanzania Iwapo Salum Mwalimu angeshinda urais basi Kigaila angekuwa Waziri mkuu wetu!

    Mazungumzo yote yapo kwenye page ya Chief Odemba Facebook. Kwa kifupi sana hii nchi raia tunaonwa kama matako Yao tu kama ni hivi asee
  11. JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa CHADEMA anaweza kuwania urais 2030 na kuleta ushindani kwa CCM kati ya hawa?

    Hapa ni kuona ni kiongozi gani wa CHADEMA anaushawishi humu JF. Unaweza kutoa na maoni yako kwa nini unafikiri kiongozi uliyemchagua anaweza kushika nafasi hiyo. Upande wa CCM 1. Emanuel Nchimbi 2. Kassim Majaliwa Ndio wananguvu humu JF. Ingawaje nusu ya wapiga kura hawaitaki CCM. Karibuni
  12. JamiiForums Tanzania Unafikiri nani ana afadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura

    Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura. Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF. Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2030 zitaanza lini, au tayari?

    Mbio ndefu zinaanza kidogokidogo ili kuhifadhi nguvu za kumalizia https://youtu.be/_grDI6frFtI?si=lxjChaUFa8fldjfm
  14. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kwani ndugu zangu Ccm ni LAZIMA mridhiane na Chadema si Bora mridhiane na Chaumma iliyokuwa na mgombea wa Urais au Act

    Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi. Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu wako tayari kina Yeriko na Zito . Nyie si mnataka TU ionekane mmeridhiana kama kule Zanzibar ingawa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wamarekani Wanamuandaa Na Kumtaka Michelle Obama Kuwania Urais 2028. Japo Yeye Anakataa Kuridhia Ombi Hilo La Wamarekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Democratic Baada ya Kupoteza katika Uchaguzi Uliopita kumeibuka tetesi na minong'ono mingi sana ya chama cha Democratic Kumuadaa Michelle Obama Mke wa Barack Hussein Obama Rais wa 44 wa Marekani Tangia kupata uhuru wa Taifa hilo Mwaka 1776 . Uamuzi unaoonekana...
  17. JamiiForums Tanzania Kikwete "2025 hakuna wa kuchukua fomu ya urais kumpinga Samia, labda mambo yaharibike sana"

    Natafakari sana kauli hii ilimaanisha nini? Uzi tayari
  18. E

    JamiiForums Tanzania Harakati za Urais 2030

    Hivi karibuni tumeshuhudia makundi yakianza kucheza karata. Historia ya CCM ni ngumu VP,PM kushinda mchakato. Je, 2030 wataweza kupita?
  19. JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  20. JamiiForums Tanzania CCM kuna Yuda au ni homa ya urais

    Naombeni majibu Uzi tayri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…