urais ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rashda Zunde

    GE2025 Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan arejesha fomu

    Tumekamilisha taratibu za uteuzi, sasa tupo tayari kwa kampeni.Safari inaanzia Kawe, Dar es Saalam kesho. Usisubiri kuhadithiwa. #OktobaTunatikiSamia
  2. Just Pray

    GE2025 Binti Ng'wasi Kimani, Aliyeshawishi wajumbe kumpitisha Samia kuwa mgombea Urais CCM, apitishwa na Wajumbe ubunge viti maalumu

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa 2025 wamemchagua Ng'wasi Kamani kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Kundi la Vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 02, 2025, Kamani ameibuka mshindi kwa kushika...
  3. Mto wa mbu

    Natangaza kutoa zawadi ya $5000 kwa mtu atakaenionyesha picha ya Samia akichukua fomu ya kugombea urais CCM

    Sote tunajua kuwa Ili uwe mgombea halali wa CCM Kwa ngazi ya urais lazima uombe Kwa kuchukua fomu na kuirudisha. Samia sijawai kumuona akichukua fomu, alijiteua tu bila kufuata taratibu. Inaonekana labda mimi ndo sikumuona akichukua fomu. So natangaza kitita cha $5000 Kwa mtu atakaenionyesha...
  4. W

    Maliki Marupu amememjibu Dkt Malisa amemwambia akasome Katiba vizuri

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi CCM mwaka 2015, Maliki Marupu licha ya kumjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho pia amemvaa Dkt Godfrey Malisa . Marupu ameyasema hayo kufuatia hoja alizoziibua Dkt...
  5. Just Pray

    GE2025 Aliyepinga uteuzi mgombea Urais CCM aibuka tena, asema sio tu katiba ya chama iliyovunjwa, bali hata katiba ya Tanzania ilivunjwa

    Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa sehemu ya Mkutano Mkuu wa CCM kwani agenda hiyo ilipachikwa dakika za mwisho hivyo kuna maswali ya...
  6. Griss

    Tetesi: Makundi MANNE ya URAIS 2025

    Wasalaam!! 1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia...
  7. Valencia_UPV

    Nitamtafutia wadhamini Mgombea Urais CCM nchi nzima

    Kwa ridhaa yangu bila kulipwa chochote. Najitolea kuzunguka nchi nzima kumtafutia wadhamini Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM pindi Tu Tume Huru ya Uchaguzi watapotoa Fomu stahiki. OktobaTUNATIKI
  8. Just Pray

    PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi asema Fitina zilikuwa zimeshaanza kuingia wagombea urais CCM, Mkutano mkuu ulimaliza kazi yake akisisitiza vyama vingine hayawahusu

    "Tumekuja mbele yenu kutoa shukrani kwa wajumbe wa mkutano mkuu kwa uamuzi ule ambao ulikuwa ni wa busara sana, sasa wapo wa vyama vingine ambao kwakweli wao hayawahusu wanaingilia utaratibu wa chama cha mapinduzi, tunasema haya hayawahusu wanaCCM waliamua kwa makusudi na walikuwa na sababu za...
  9. F

    GE2015 Je ni kweli mgombea Urais CCM 2015 alikuwa Amina Ally ila kwa kutamka Lowassa atakuwa Makamu wake akagauza upepo?

    Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili. Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza. Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati...
  10. J

    Jokate: Fomu ya urais ni moja tu

    "Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni...
  11. ChoiceVariable

    PreGE2025 Wanawake wamchangia Rais Samia Milioni 120 za Fomu ya Urais. Majaliwa aongoza zoezi, asisitiza Fomu ya Urais 2025 itakuwa Moja tu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanawake kumchangia pesa za kuchukulia fomu Rais Samia ambapo alikuwa mgeni Rasmi. Wanawake hao wapenzi wa Rais Samia wamemchangia Shilingi Milioni 120 Kwa Ajili ya kugharamia fomu ya Urais. Akiongea kwenye Hafla hiyp.PM Majaliwa amesisitiza kwamba CCM...
  12. Mganguzi

    Mimi sio kichaa! Kama CCM watatoa fomu moja ya urais 2025 na wakampa mmoja tu - Nitakwenda mahakamani!

    Kutangaza nia sio kosa kisheria, na demokrasia tuliichagua ili tuifuate. Sasa kama chama changu CCM, kitaninyima haki ya kugombea 2025! Na mwenyekiti akaruhusu fomu iwe moja tu! Na wakampa mmoja tu! Basi kwa mara ya kwanza nitakwenda kudai haki yangu ya kikatiba mahakamani, taratibu za chama...
Back
Top Bottom