uraibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Uraibu wa Ngono

    Uraibu upo wa aina nyingi. Kuna uraibu wa pombe, sigara, madawa ya kulevya, na uraibu wa chakula. Leo nitajikita kwenye uraibu wa ngono. Tofauti na uraibu wa pombe, sigara na madawa ya kulevya ambazo hazimpati yeyote, (sio kila mtu atangukia kwenye raibu hizi) uraibu wa chakula na ngono ni...
  2. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Namna nilivyoacha punyeto, sigara na betting moja kwa moja

    Katika hii dunia ya sasa vilevi ni vingi mno na unahitaji umakini mkubwa sana maan aukangukia kwenye uraibu basi utapoteza vingi sana. Nikiwa kama kijana, nimekuwa mmoja wapo waliokumbwa na uribu wa vilevi vitatu ambavyo ni Punyeto, betting na sigara. PUNYETO - Nlianza kimasihara masihara...
  3. JamiiForums Tanzania Uraibu wa Kamari: Soma kisa hiki alafu jiweke nafasi mzazi wa huyo binti. Ungefanya nini?

    Kama mwanao kaganya hivyo ungechukua hatua gani? Ungeuza nyumba ili umlipie madeni yake? Au ungeacha ajiue tu kama alishapanga? Uhai haununuliki lakini binafsi ni mtihani usio na majibu Nimekiona BBC Swahili Full story 👇👇 --- Uraibu wa Kamari: Namna gani unaweza kupambana na uraibu wa kamari...
  4. JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza Kamari (Betting)

    Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha. Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza kamari au kama ilivyo maarufu kwa jina la betting. Hii ni changamoto ambayo imekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…