Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha
Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwelekeo wa hali ya hewa kipindi cha msimu wa kipupwe unaotarajia kuanza mwezi Juni hadi Agosti mwaka huu, ambapo Kutakuwa na upepo wa wastani utakaovuma kutoka Kusini Mashariki kwa maeneo mengi ya Nchi pamoja na vipindi vichache vya...
Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER".
Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake
Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
Mamlaka nchini China Kaskazini zimewashauri wakazi wenye uzito wa chini ya kilo 50 kubaki ndani ya nyumba zao kutokana na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo, zikitahadharisha kuwa watu wenye miili midogo wanaweza kubebwa na upepo huo hatari.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters...
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Komred Kheri James mapema leo, amewasilisha salamu za pole na misaada mbalimbali iliotolewa na Serikali kwa ajili ya Wananchi walio athirika na mvua ya upepo katika Kata ya Mlenge na Itunundu zilizopo katika jimbo la Isimani.
Akizungumza katika zoezi la ugawaji wa...
Kufuatia maafa makubwa ya Kaya Takribani 319 Kuezuliwa na Upepo katika Manispaa ya Musoma Mkoani mara Bibi Evelyn Msuba nimiongoni mwa wahanga hao amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi kumasaidia kulekebisha Nyumba yake ili kuondoka na mateso anayoyapitia kwa sasa.
Baada ya ombi...
Mvua kubwa iliyonyesha jana jijini Arusha iliyoambatana na upepo mkali imeezua nyumba zaidi ya kumi katika mtaa wa mashariki na kuacha familia kadhaa bila makazi.
Kutokana na upepo kuwa mkali zilipeperusha mbali bati hizo na hazikupatikana hata moja hakuna majeruhi wala vifo.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa Septemba 1, 2024 kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa siku tatu mfululizo kuanzia Septemba 1 hadi Septemba 3, 2024
Taarifa hiyo imesema kuwa Athari zinazoweza kujitokeza ni kuathirika na kughairishwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.