Salaam,
Mwanamke akikupenda atakupa cheo cha baba katika maisha yake, kwako atatarajia upendo na malezi toka kwako.
Kama mwanaume, ni wajibu wako kumfanyia yafuatayo:
1. Mdekeze kadri uwezavyo coz huenjoy sana kudekezwa na mtu ampendae
2. Akikosea usimfokee, muelekeze kistaarab hatorudia...