upatikanaji wa maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Swali kwa DAWASA kuhusu upatikanaji wa maji Ubungo -Msewe

    Tokea mwezi wa 10 kulipokuwa na mgawo mkali wa maji, maeneo yetu ya Msewe, Chuo Maji na maeneo ya karibu tumekuwa tukipata maji takribani mara moja tu kwa wiki. Hata hivyo, ndani ya mwezi huu maji yametoka mara mbili tu. Tunaomba kufahamu kutoka DAWASA kama changamoto hii inasababishwa na...
  2. Nipe Maji

    Waziri Aweso: Upatikanaji wa maji vijijini asilimia 83, mijini 91.6

    Waziri wa Maji Juma Aweso amesema upatikanaji wa Maji kwa Sasa ni asilimia 83 katika maeneo ya vijijini na 91.6 mijini. Kauli hiyo ameitoa Leo bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya Mapato na matumizi kwa Wizara hiyo katika bajeti ya mwaka 2025-2026. Waziri Aweso amesema upatikanaji wa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Gairo: Wananchi 8,000 waondokana na kero ya Maji baada Serikali kutoa fedha kujenga Tank la Maji lenye Lita 150,000

    Wananchi zaidi ya 8,000 Katika Kijiji cha Ndogomi , Kata ya Magenge ,Wilayani Gairo Mkoani Morogoro wameondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya Maji safi na salama mara baada ya Serikali kutoa fedha Shilingi Milioni 894 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Maji. Akizindua mradi...
  4. Roving Journalist

    Waziri Aweso aelekeza kufanyika utafiti wa kina wa upatikanaji wa maji Dodoma Jiji

    Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso amewataka wataalamu wa Wizara ya Maji kuhakikisha wanaongeza nguvu ya utafiti wa kina wa maji katika Jiji la Dodoma ili kusaidia upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa Jiji la Dodoma. Waziri Aweso ameyasema hayo leo wakati akikagua miradi ya maji wa...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri: Kwasasa upatikanaji wa Maji 83% Vijijini, 91.2% Mijini

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi...
  6. Just Pray

    PreGE2025 Wananchi Handeni - Tanga waishukuru Serikali kwa kutatua kero ya upatikanaji wa huduma ya maji

    Wakazi wa Bongi, wilayani Handeni mkoani Tanga, ambao walikumbwa na changamoto ya uhaba wa maji na kulazimika kutembea umbali wa kilomita 3 hadi 4 kutafuta huduma hiyo, sasa wanapata maji karibu na makazi yao kufuatia juhudi za serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Rais Samia...
  7. H

    Upatikanaji wa maji mijini umefikia asilimia 84 mwaka 2024 baada ya umilishaji wa miradi 298 ya maji

    Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ibara ya 100 inaelekeza upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kufikia asilimia 95 mjini. Utekelezaji wake ni kwamba Upatikanaji wa maji mijini umefikia asilimia 84 mwaka 2024 baada ya umilishaji wa miradi 298 ya maji. Pakua Samia App kupitia Play Store...
Back
Top Bottom