Nyumba ya ghorofani (apartment) inauzwa Upanga, ikiwa na sifa zifuatazo:
β Vyumba 3 vya kulala β vyote en-suite
β Closed kitchen, dining & sitting area
β Balcony yenye mwonekano mzuri
β Mwanga wa kutosha na hewa safi (good ventilation)
β Baadhi ya maeneo ya nyumba yana sea view π na upepo mzuri...