upagani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hamis77

    Sirat fundisho la uongo kutoka upagani

    UISLAMU NDANI YA UPAGANI WA SIRAT (DARAJA LA JEHANAMU) Moja ya mafundisho yanayopatikana ndani ya Uislamu ni fundisho la Sirat daraja linalowekwa juu ya Jahannamu ambalo wanadamu wote watalivuka siku ya hukumu. Wengine watapita salama, wengine kwa shida, na wengine wataanguka motoni. Lakini...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Paulo wa Tarso jasusi la kiroma lililopewa misheni ya kubadili mwelekeo wa Ukristo na kuwa upagani

    Hamjambo! Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan. Paulo/Saul: kiasili ni Myahudi Raia; Warumi Elimu: Farisayo, elimu ya juu ya Dini ya kiyahudi. Paulo hakuwahi...
  3. matunduizi

    Hii nguvu anayoitumia Gwajima kwenye Mambo ya KIKAISALI angeitumia KWA YESU uislam na upagani nchini ungebaki 1%

    Wakati wa Yesu kulikuwa na uonevu mkubwa wa kisiasa. Lakini Yesu alijikita kwenye misheni ya Ufalme wa MUNGU KITU Bora kuliko siasa za mpito. Wakati wa Paulo kulikuwa na harakati nyingi sana za siasa Asia na ulaya. Tena uchawa kulikuwa umekithiri lakini alijikita katika misheni ya kumueleza...
  4. hamis77

    Upagani wa kale katika usasa

    UPAGANI WA KALE KATIKA USASA Ibada ya hija bila kuvaa chupi Wapagani wa Maka naam makureshi walikuwa wanafanya hija wakiwa watupu (uchi wa mnyama). Na Waislamu leo wanahiji bila kuvaa nguo za ndani. Mtume wa kislamu Muhamad alizaliwa katika jamii ya makureshi na tena babu yake alikuwa kuhani...
Back
Top Bottom