uongozi wa samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhuruborn

    Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  2. Sifi Leo

    Rais Samia kafanya mengi mazuri lakini hili limemshindaje?

    Mhe. Rais wa Tanzania amefanya mengi sana makubwa na kubwa kuliko yote ni kumalizia Miradi waliyoianzisha yeye na Hayati Magufuli. Ambayo hawakuyaanisha ni mfano kizimkazi festivo ilo sio la Marehemu Magu, la pili ni kusambaza picha za Mama Samia nchi nzima (nimepita some hapa round about...
  3. T

    Kuongoza Taifa kuna hitaji akili zaidi kuliko hisia binafsi

    Leo napenda kuja na mada ambayo huwenda ikasaidia wale waliopo kwenye nafasi za uwongozi wa juu wa Taifa. Awali ya yote nilazima tuambiane ukweli Taifa lina jengwa ktk misingi ya siasa bora ila ni bahati mbaya sana Taifa lilipo amua kuingia ktk misingi ya siasa za vyama vingi sio kwa chama...
  4. Kijana mtafutaji

    Rais Samia atakuwepo madarakani hadi 2035?

    Hili swali kidogo linanitatiza. Je, Rais mama yetu Dkt. Samia atakuwepo hadi 2035? Nauliza hivyo maana utaratibu wetu wa kuongoza nchi ni 10 years. Sasa hapa Rais wetu atakuwa ameongoza kwa 14 years. Kwa kule USA Trump ameambiwa hatakama atashinda uchaguzi ila ata ongoza kwa muhula 1 ambao ni 4...
  5. GENTAMYCINE

    PreGE2025 Rais Samia kwanini wengi wanaokutaka uendelee kuwa Rais wakiwa na hali fulani huoneshi kuwafurahia?

    Kwa wale Matomaso (Wabishi wa Kuelewa daima) mkitaka kuliona hili tafadhali tafuteni Clip ya Msigwa alipokuwa akijiunga rasmi na CCM pale Ikulu/CCM Lumumba na zile Hafla mbili za nyuma za Wanawake kisha tulizeni Kiumakini Mimacho yenu mtizameni Mama (Rais) hasa katika Body Language yake kisha...
Back
Top Bottom