uongozi wa rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. henry_john

    Nishati safi kwa Watanzania

    Dkt.samia suluh hassn,kafanya kazi ya Upatikanaji wa Vifaa vya Nishati Safi kwa Wananchi: Kupitia kampeni za kuwahamasisha wananchi kutumia nishati safi, zaidi ya asilimia 75 ya kaya nchini zimeridhia kutumia vifaa vya kupikia vinavyotumia gesi au umeme wa jua kuanzia 2021. Serikali imeweza...
  2. figganigga

    Haya ndo mafanikio ya Uongozi wa Rais Samia Hassan.. Mitano tena

    Poleni sana Askari wetu wa barabarani.. Tunaweza kuona magumu mnayopitia.. Hakika kwa upande wa kuhakikisha Sheria za Nchi zinafuatwa, Samia kaupiga mwingi.
  3. Ex Spy

    Deni la Taifa: Nini kimepelekea uongozi wa Rais Samia kukopa kiasi hiki?

    Sikiliza hii video:
  4. S

    Haitusaidii Ndugai, Kinana, Mpango, Majaliwa na Polepole kujitoa uongozi sababu hawakubaliani na Rais Samia; wanachukua hatua gani kuinusuru nchi?

    Karibu kila mtu anajua kuna hali tete sana kuhusu uongozi wa Raisi Samia kukubalika na viongozi wengine ndani ya CCM. Na kwa sababu CCM ina utaratibu mbovu kwamba Rais ndie anakuwa Mwenyekiti wa Chama, viongozi wengine wanakuwa hawana sauti, hadi kufikia kujiondoa katika safu ya uongozi pale...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Bilioni 86 zaimarisha maendeleo Lindi chini ya uongozi wa Rais Samia

    Katika kipindi cha Uongozi wa Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuanzia Machi, 2021 hadi Machi 2025, Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi Shilingi Bilioni 86 Manispaa ya Lindi kwa ajili ya utekelezaji wa Miundombinu mbalimbali ya Elimu, Afya...
Back
Top Bottom