Saahil Arora, better known as Universe, is an American former professional Dota 2 player. He was a member of the Evil Geniuses team that won The International 2015.
There are more than just three dimensions to our universe…
For decades, the boundaries of our three-dimensional world have been questioned by physicists who suspect that reality is far more complex than what our senses reveal.
According to the 'braneworld' model, everything we perceive—from...
Multiverse ni wazo la kisayansi linalosema kuwa kuna uwezakano wa kuwa na ulimwengu au dunia nyingi na miongoni mwao huenda zikawa sawa na dunia yetu kumaanisha kuwa na version ya watu wa dunia na kanuni sawa na za dunia,
Wazo hili sio geni bali limeanza zamani watu kama Atomist [mwana...
Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku.
Miss Denmark, Victoria Kjaer Theilvig ndiye aliyeibuka Miss Universe mwaka huu 2024.
Chidimma Adetshina ambaye awali...
Mrembo wa Nigeria aliyefutiwa Uraia nchini Afrika Kusini, Chidimma Vanessa Adetshina ameshika nafasi ya tatu Duniani kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks.
Soma, Pia: Afrika Kusini yamfutia uraia mrembo wa Nigeria, Chidimma Adetshina pamoja na Mama yake
Chidimma Adetshina, ambaye alikuwa...
Mara kadhaa nimekutana na stori nyingi kuhusu upekee wa hizi namba (3,6 na 9), wengine wakidai zikitumika katika manifestation zina nguvu kubwa. Kwamba zinatuunganisha na Universe, kwa hiyo ukizitumia vizuri unaweza kuomba chochote (huku ukikifanyia kazi) na kikakuletea matokeo chanya.
Swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.