unene

  1. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Unene wa kiwango hiki ni hatari kwa afya

    Katika video hii [emoji116][emoji116] iliyonishangaza raia mmoja wa India ambae ni mnene kupitiliza amejikuta ameanguka ghafla baada ya kupata shambulio la moyo hali iliyopelekea raia wema wamburuze na kumpakia kwenye guta kama kiroba cha maembe ama furushi la mahindi. NB:itoshe kusema UNENE...
  2. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Benjamin Mkapa kuanza rasmi upasuaji wa kupunguza unene

    BAADA ya kupata mafanikio ya majaribio ya kupunguza unene, Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza rasmi kuanza kutoa huduma ya upasuaji wa kupunguza uzito kwa watu wenye unene uliopitiliza. Pia mwanzoni mwa mwezi ujao, wagonjwa sita watafanyiwa upasuaji wa kupandikiza figo kwenye hospitali...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Fahamu matatizo mbalimbali ya unene kupita kiasi na namna ya kukabiliana nayo

    Utafiti mmoja wa kiafya duniani umeonyesha ongezeko la asilimia 82 la watu wanene kupita vifo vinavyotokana na kunenepa kupita kiasi ni mara tatu zaidi ya vifo vinavyosababishwa na kukosa chakula chenye lishe, ingawa bado nchi nyingi zinapambana na ukosefu wa chakula. Majid Ezzati, ambaye ni...
Back
Top Bottom